JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
ahahhahahhahhah cezeya dompo ya kuinywa mbiombio huku mtu akiwahi msiba!ahahahhahhahahhahhhha watu mna visa nyie! Mtambuzi hafai hata kidogo!
hahahaha ngoja akusikie atakuja na caton nzima, mi ntaleta Bakadi kwa wale wanaotengeza koktaili ili tuwa-injoy zaidi, mnafurahisha kweli ikiwakolea.