Sifa walizonazo wasichana wetu

Sifa walizonazo wasichana wetu

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Utafiti tuliofanya unaonyesha haya yafuatayo;

1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao.

2. Wasichana warefu huwa hawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjika,
na hawajui kubembeleza hata kidogo, yaani bado wao mbulula.

3. Wasichana wenye dimpoz, mwanya, matege, mbinuko, mahips na kithembe hawa wanaogoza
kwa kutokuwa waaminifu katika mapenzi na simu zao mara nyingi wanaziwekea "password" huwezi kusoma meseji zao.

4. Wasichana wanene wanaongoza kwa mapenzi ya kweli yaani akipenda amependa kweli.

5. Wasichana wembamba hao huwa ni wabishi sana na huwa wanaongoza kwa kutendwa.

6. Wasichana weusi wanaongoza kwa kutoa mimba na kupenda wanaume warefu na weupe.

7. Wasichana weupe wanaongoza kwa kuzalia kwao nyumbani, na hawa weupe sana uolewa wakiwa na watoto tayari.
 
mtu anayekaa kuchambua chambua wanawake ni mwanaume wa dar....wenye sifa ya kula chips nusu sahani
huwezi kukuta mwanaume wa maswa, mbeya,arusha, iringa akichambuachambua wanawake.....

kushindwa kumdhibiti au to shape a woman ni upungufu wa mwanaume husika na sio wa mwanamke
 
usijali ngoja nitabiri sifa yako itakuwa namba 7
 
mtu anayekaa kuchambua chambua wanawake ni mwanaume wa dar....wenye sifa ya kula chips nusu sahani
huwezi kukuta mwanaume wa maswa, mbeya,arusha, iringa akichambuachambua wanawake.....

kushindwa kumdhibiti au to shape a woman ni upungufu wa mwanaume husika na sio wa mwanamke

yaan umenena mwanaume wakweli arusha,moshi, mbeya,mwanza, mara n.k huwez shinda kumchambua mwanamke hivyooo wanamnyima usingiz wanawake aisee, hamna mahusiano ya body size na moyo wa mtu. mfano akiwa mwembamba akaja kunenepa na tabia inabadilika au
 
tabia zinaongezeka
 
Kweli kabisa.....hasa wanawake weupe wanazaa makwao sana
 
mtu anayekaa kuchambua chambua wanawake ni mwanaume wa dar....wenye sifa ya kula chips nusu sahani
huwezi kukuta mwanaume wa maswa, mbeya,arusha, iringa akichambuachambua wanawake.....

kushindwa kumdhibiti au to shape a woman ni upungufu wa mwanaume husika na sio wa mwanamke

Hili dongo sasa. Chipsi nusu sahani mwanaume gani anakula hii?
 
mtu anayekaa kuchambua chambua wanawake ni mwanaume wa dar....wenye sifa ya kula chips nusu sahani
huwezi kukuta mwanaume wa maswa, mbeya,arusha, iringa akichambuachambua wanawake.....

kushindwa kumdhibiti au to shape a woman ni upungufu wa mwanaume husika na sio wa mwanamke

hivi watu wa DAR wamewakosea nini nyiniy??!! sasa maoni ya mtu mmoja ambae inawezekana yupo huko ulipo yanaingizaje wanaume wa DAR??!! Dont hate the player hate the game.
 
yani chifu na mimi najiunga kuuliza swali hilo hilo, halafu nimegundua mara nyingi wanawake ndio wana izo ishu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom