Zijue aina za mabinti na tabia zao

Zijue aina za mabinti na tabia zao

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,370
Reaction score
14,522
Wanajukwaa, Heri ya Krismas na Mwaka mpya....!!!!, Basi km Kichwa kinavyojieleza, Hii kitu nimeinote Sehemu, halafu na mimi nika proove kwa kufanya Utafiti Wangu.Ni kwamba Mabinti wana Maumbile Tofauti na tabia zao hutofautiana pia kadri ya Maumbile yao, Tafadhari "USIBISHE ",Tiririka nami.

1.Wasichana Wafupi -Hawa wanaongoza kwa wivu wa Mapenzi
na kuwajali Wapenzi wao.

2.Wasichana Warefu -Hawa huwa
hawawajali wapenzi wao na ha
waogopi mahusiano kuvunjika,
hawajui kubembeleza hata kido
go.

3.Wasichana Wenye DIMPOZ, MWA
NYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS, na KITEMBE -Hawa huongoza kwa kutokuwa Waaminifu katika Mapenzi.

4.WASICHANA WANENE -Hawa huongoza kwa Mapenzi ya Kweli,
Yaani akipenda amependa Kweli.

5.WASICHANA WEMBAMBA -Hawa
ni wabishi sana, hawa wanaongoza kwa kutendwa.

6.WASICHANA WEUSI -Wanaongoza kwa kutoa mimba na
Kupenda Wanaume warefu na weupe.

7.WASICHANA WEUPE -Wanaongoza kwa kuzalia Nyumbani, na Wengi wao huolewa wakiwa na watoto tayari, huku wakipenda kuolewa na Waarabu Kuliko Wanaume Weusi.

-Naomba niishie hapa mnaweza kuongezea. Wanawake Tafadhari msije kunifikiria vibaya. Ni Kautafiti tu Jamani.
 
mke wangu ni mrefu lakini aisee, ana wivu kuliko kawaida. ananionea wivu hadi kwa dada zangu. wadogo zake wakija kwangu anawapaga semina sijui manake mashemeji naona wananiheshimu kama mim mkwe wao vile.
 
Mkuu Hute umenifurahisha kuhusu semina kwa mashemeji
unajua inakuwa sio kawaida, nimeshakaa na wadogo zake sana wengine huja kusoma na wanaishi kwangu, unashangaa shemeji badala ya hata kuburudika na maneno machache anakuheshimu kama vile wewe mkwe wake...kumbe huko vyumbani kwao amewafuata na kuwapa semina ya kutosha. kuna ule upendo wa dada zangu ule wa kuzaliwa, aisee anapambana mno aonekana yeye peke yake ndio ananimiliki. nilimkuta bikira, hadi sometimes jamaa wakisema usioe bikira naweza nikaongea jambo kwasababu wana wivu aisee.
 
Inawezekana umechanganya mafaili..account ni mona tu...si unaona atleast ina zaidi ya ka mwaka kamoja
yap ni kweli. thanks. nilikuwa natype kwa mtu fulani kumbe nimebonyeza kwenye post yako.
 
Sasa unakuw na msichanamba, mwenye sifa ya urefu,mwemba,mwenye mwanya na mwenye matege
Hatareeee hapo
 
Back
Top Bottom