Sifa walizonazo wasichana wetu

Sifa walizonazo wasichana wetu

hivi watu wa DAR wamewakosea nini nyiniy??!! sasa maoni ya mtu mmoja ambae inawezekana yupo huko ulipo yanaingizaje wanaume wa DAR??!! Dont hate the player hate the game.
hii chali ni ya arusha
 
Utafiti tuliofanya unaonyesha haya yafuatayo;

1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao.

2. Wasichana warefu huwa hawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjika,
na hawajui kubembeleza hata kidogo, yaani bado wao mbulula.

3. Wasichana wenye dimpoz, mwanya, matege, mbinuko, mahips na kithembe hawa wanaogoza
kwa kutokuwa waaminifu katika mapenzi na simu zao mara nyingi wanaziwekea "password" huwezi kusoma meseji zao.

4. Wasichana wanene wanaongoza kwa mapenzi ya kweli yaani akipenda amependa kweli.

5. Wasichana wembamba hao huwa ni wabishi sana na huwa wanaongoza kwa kutendwa.

6. Wasichana weusi wanaongoza kwa kutoa mimba na kupenda wanaume warefu na weupe.

7. Wasichana weupe wanaongoza kwa kuzalia kwao nyumbani, na hawa weupe sana uolewa wakiwa na watoto tayari.

hizo nyingine sijui ila hio NAMBA TANO......kwa experience yangu ina ukweli!!!
 
Umejuaje na huo utafiti umeufanyia wapi? Kwa wanawake wangapi? Acha umbulula wewe inaonyesha umezoea kuopoa hovyo hovyo huko mitaani fanya kazi achana na utafiti wa kuhuni huko vijiweni
 
Umejuaje na huo utafiti umeufanyia wapi? Kwa wanawake wangapi? Acha umbulula wewe inaonyesha umezoea kuopoa hovyo hovyo huko mitaani fanya kazi achana na utafiti wa kuhuni huko vijiweni

wewe utakuwa namba 6 bila kupepesa
 
CAG report inasema kuwa kuna hela zinapigwa sana karibia Trilioni kadhaaa hivi, watu wanalipwa hela hewa hadi marehemu wanalipwa
 
mtu anayekaa kuchambua chambua wanawake ni mwanaume wa dar....wenye sifa ya kula chips nusu sahani
huwezi kukuta mwanaume wa maswa, mbeya,arusha, iringa akichambuachambua wanawake.....

kushindwa kumdhibiti au to shape a woman ni upungufu wa mwanaume husika na sio wa mwanamke

nakubaliana na wewe 100% ....huwezi kukutana na mwanaume aliyeko mkoani kuongea ujinga huu. wao ni kuwamwagia wanawake wao masifa kedekede, haijalishi mnene, mwembamba, mfupi sijui mrefu....
 
mtu anayekaa kuchambua chambua wanawake ni mwanaume wa dar....wenye sifa ya kula chips nusu sahani
huwezi kukuta mwanaume wa maswa, mbeya,arusha, iringa akichambuachambua wanawake.....

kushindwa kumdhibiti au to shape a woman ni upungufu wa mwanaume husika na sio wa mwanamke

Hahaha....
 
Kweli kabisa.....hasa wanawake weupe wanazaa makwao sana

watu wanaogopa wasizae zeruzeru

Utafiti tuliofanya unaonyesha haya yafuatayo;

6. Wasichana weusi wanaongoza kwa kutoa mimba na kupenda wanaume warefu na weupe.

7. Wasichana weupe wanaongoza kwa kuzalia kwao nyumbani, na hawa weupe sana uolewa wakiwa na watoto tayari.


Aiseee!!!!!!!!! kumbe wote wanapata mimba ILA TATITO kufikisha miezi 9. mmmh!!!!!! nicheke mie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom