Sifa walizonazo wasichana wetu

Sifa walizonazo wasichana wetu

kweli nchi itakuwa na maendeleo kwel km mwanaume mzm unakaa kuwachambua wanawake huo md kw nn ucutumie kufikilia utaweza kufik vp unapohitaji kufika kwa kufanya michanganuo? mungu akusaidie sn
 
Hebu acha umbea na fatifi zako za vichakani. Assume ni kweli, then we inakuhusu nini? hebu acha kuwadhalilisha mapambo yetu ya ulimwengu!
 
Ndugu, huu utafiti wako ulitumia methodology gani? Na pia sample uliipataje? Kila kategoria uliyotaja umewatafiti wanawake wangapi? Ukinijibu haya nitakuambia kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom