Sifa na tabia za wameru

Status
Not open for further replies.
tabia nzuri kukata migomba?, kunyea makanisani?, wanakera sana hawa bwana. kha!
hivi unataka kuniambia kunya kanisani ni tabia ya kabila kwa ujumla wake?
Mbona baadhi ya wanaume wa Pemba wanafanywa so naweza generalize?
 
hivi unataka kuniambia kunya kanisani ni tabia ya kabila kwa ujumla wake?Mbona baadhi ya wanaume wa Pemba wanafanywa so naweza generalize?
swali zuri sana kwa hiyo inategemea mtu na mtu lakini kuna vitu ambavyo watu hufanana,mfano kuna watu wa kabila la wahaya ulishawahi kuta asiye na majivuno au kupenda kuwa juu?
 
Mambo mnayokandia juu ya wameru si ya kweli..........mbona msiseme ni wachapa kazi wazuri? kwa taarifa hakuna watu/kabila linafanya kazi na kujituma kama wameru. Kingine ninachoweza kusema hakuna binadamu au kabila ambalo halina makasoro yaani hakuna aliyekamilika..........hata biblia (sijasoma kuruan) inasema hivyo, kwa maana hiyo mapungufu ya mtu/kabila yametokana na muumbaji.......hivyo acheni kumkosao Muumbaji. Ni sawa na mtu aliyeombwa na sura nzuri anaringa na yule aliyeumbwa na sura mbaya anajilaumu.......hii si sawa kwani hakuna aliyemuomba Mungu amuumbe kwa jinsi yeyote. Kulalamika na kutoridhika kutupeleka pabaya..........angaliya Marehemu Micle Jackson alishindwa kuridhika alivyouumbwa akaamua kufanya uumbaji mwingine kwa mwili wake.........sasa yuko wapi?? Binaadamu wote ni sawa kwakuwa, wanazaliwa, ishi na kufa.
 
Wote wanaowaponda wameru humu, tatiz kubwa hawajaenda shule. soma logic ktk philosophy didactive&inductive halafu mrudi
 
Kuna mambo yaliyosemwa humu ambayo yanaweza kuwa kweli. Ila kuna mengine nadhani wame exaggerate! Historia tu ndio inawahukumu wameru ingawa wana mazuri tu. Ni wafugaji wazuri wanaolisha jiji zima la Arusha maziwa na pia ni wakulima wazuri wa mbogamboga na matunda. Kwa wakazi wa Arusha watakubaliana nami kwamba vitu vyote hivi vinaletwa town kutoka Tengeru!
 
Ninachoelewa ukiowa mmeru ujue yeye ndiye atakuwa mtawala wa nyumba.ndugu zake ndio watakuja lakini upande wako patakuwa na kazi hatajitaidi mlinzi,house b/g wote wawe meru au masai.niwachoyo sanaaaaa!

Unatakiwa kuwa pia fit katika JUDO na MIELEKA; inasemekana hawatoi mchezo hadi ichezwe WRESTLING.....
 
swali zuri sana kwa hiyo inategemea mtu na mtu lakini kuna vitu ambavyo watu hufanana,mfano kuna watu wa kabila la wahaya ulishawahi kuta asiye na majivuno au kupenda kuwa juu?

Binafsi nimekutana na wahaya wengi sana wasio na majivuno wala kupenda kuwa juu...
Nimeshakutana na Wachaga, Wanyakyusa, Wangoni nk nk wenye majivuno na dharau kuliko hata wahaya...
Tabia ya mtu au watu fulani ni makosa sana kui-generalize kuwa tabia ya Jamii nzima aliyotoka huyo mtu..
 
nilikua nafanya reseach hapa...Wameru ni kabila linaloning'inia kiutamaduni kwa kua si wakulima wlala wafugaji...alafu jamaa mmoja ambaye hakupenda kudisclose kabila yake anadai hawa jamaa ni arrogant,nikamwambia acha hiyo mambo mbona Mary,shost wa bi Mwanahamisi kwa upande wa ukweni kaolewa huko meru alaf ngoja kwanza Bosi wangu mmeru nitamalizia badae!
 
Binafsi nimekutana na wahaya wengi sana wasio na majivuno wala kupenda kuwa juu...Nimeshakutana na Wachaga, Wanyakyusa, Wangoni nk nk wenye majivuno na dharau kuliko hata wahaya...Tabia ya mtu au watu fulani ni makosa sana kui-generalize kuwa tabia ya Jamii nzima aliyotoka huyo mtu..
Mkuu unalolisema ni kweli binafsi nimeona sana hiyo,sijawahi kukutana na mhaya mwenye majivuno! Na hata ningekutana nao watano siwezi kugeneralize kuwa ni wahaya wote!wameru vile vile hatuwezi kusema wote kwa ujumla wao wana tabia hizi,labda kama tunaweka ugreat thinker pembeni unaofanya reasoning na kuandika kiushabiki zaidi kutokana na sababu flani flani.
 
1. Wana viisasi
2.Washari
3.Primitive
4.Sio wastaarabu

"Kuliko ukutane na Mmeru bora ukutane na NYOKA"

Huu ni usemi rasmi unawadescribu wao.
YAANI
We acha tu!
Kavu kavu mnamsema Mzee LOWASSA, Laigwanan, ouuwiii
 
kiukwel hawa jamaa wanaroho mbya kama wanyama c wanawake wala waume,si rahsi ukakuta m2 anajitambulisha ya mmeru
huwa wanasema ni wachaga..wanaundugu na wamachame
 
  1. Kama ukimchukua hausigirl wa Kimeru anaweza kukutumbulia tumbo mtoto siku mkimtibua
  2. Wanaume kwa wanawake ni wababe kinoma
  3. Hawana staa /uvumilivu wa jambo
  4. hawakubali kushindwa kirahisi
  5. Wana ugomvi usioisha maishani
  6. Wengine ni washirikina kinoma
  7. Wanapenda sana short- cuts kwenye kkila jambo, wanaweza kuingiza hata ng'ombe shambani ilimradi wasiende machungo ya mbali
Teh teh mkuu hyo namba 7 umenifurahisha kweli
 
Mkuu unalolisema ni kweli binafsi nimeona sana hiyo,sijawahi kukutana na mhaya mwenye majivuno! Na hata ningekutana nao watano siwezi kugeneralize kuwa ni wahaya wote!wameru vile vile hatuwezi kusema wote kwa ujumla wao wana tabia hizi,labda kama tunaweka ugreat thinker pembeni unaofanya reasoning na kuandika kiushabiki zaidi kutokana na sababu flani flani.

mi sijawahi kukutana na mhaya asiye na majivuno katika umri wangu wote huu.
 
nashukuruni wote mliochangia na mnaoendelea kuchangia nimepata mapointi mengi sana
 
Ndio nimeanza maskani mjini Arusha ningependa kujuzwa na wale 'wazoefu' kuhusu wadada wa ki-meru hasa tabia na kama ni 'wife materials'
 
Mzee ukijifanya wewe kidume basi jiandae tu kukatwa hayo 'manyanga' yako. Hao jamaa kwa ujumla wao, sio wake au waume ni ubabe na ukatili kwa kwenda mbele. Ulizia vita ya wameru miaka ya 70 ndo utawajua, nomaaaaaa hao watu!
 
Lakini wasichana wa kimeru wazuri!!! Bana mi nadhani ubabe ni mtu yoyote tu. we jitafutie kitu cha uhakika....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom