mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,236
- 954
Mzee ukijifanya wewe kidume basi jiandae tu kukatwa hayo 'manyanga' yako. Hao jamaa kwa ujumla wao, sio wake au waume ni ubabe na ukatili kwa kwenda mbele. Ulizia vita ya wameru miaka ya 70 ndo utawajua, nomaaaaaa hao watu!
Duh! Kwa hiyo wameru na wakurya hamna tofauti?