Sifa moja ya ma handsome

Sifa moja ya ma handsome

Hiii hebu tutoke kidogo nje ya hii mada...kuna jambo naomba kuuliza ambalo kwa mbali linaweza kufanana na hii mada..Haya hebu tujadili au tutoe maoni hapa:
Kwa mwanaume uwe hujaoa au umeshaoa japo hupendi sana kutongoza mabinti au wanawake labda kutokana na tabia yako au ili tu kulinda heshima yako unakujikuta unatongozwa na vitoto vya like vya sekondari au vya primary au wasichana ambao hawajaolewa ama hata wake za watu wanakutamani pamoja na hayo yote unakuta mkeo naye anabana hadi black isitoshe mashemeji nao wanakuwa kama wanajilengesha kwako au wanakuwa ni watu wakukufuatilia isijekuwa kuna mwanamke anayekunyemelea hapo mtaani sasa swali langu ni hivii kwa mwanaume wa aina hii ni ma-handsome au nini hasa?
Wanawake wa humu JF kazi kwenu.
 
sifa nyingine ya ma handsome boy hawana nguvu za kiume kwasababu ya chips yai, sikuhiz wanaitwa "kimoja cha kibigwa"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wabeba zege tunaskuma
tu vifua juu kama mbege
 
Hiii hebu tutoke kidogo nje ya hii mada...kuna jambo naomba kuuliza ambalo kwa mbali linaweza kufanana na hii mada..Haya hebu tujadili au tutoe maoni hapa:
Kwa mwanaume uwe hujaoa au umeshaoa japo hupendi sana kutongoza mabinti au wanawake labda kutokana na tabia yako au ili tu kulinda heshima yako unakujikuta unatongozwa na vitoto vya like vya sekondari au vya primary au wasichana ambao hawajaolewa ama hata wake za watu wanakutamani pamoja na hayo yote unakuta mkeo naye anabana hadi black isitoshe mashemeji nao wanakuwa kama wanajilengesha kwako au wanakuwa ni watu wakukufuatilia isijekuwa kuna mwanamke anayekunyemelea hapo mtaani sasa swali langu ni hivii kwa mwanaume wa aina hii ni ma-handsome au nini hasa?
Wanawake wa humu JF kazi kwenu.
Fungua thread itapendeza
 
Back
Top Bottom