Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,831
- 56,341
Hahahaha unajua kuna mahandsome boys wa dar na handsome boys wanaojielewa.sifa nyingine ya ma handsome boy hawana nguvu za kiume kwasababu ya chips yai, sikuhiz wanaitwa "kimoja cha kibigwa"
Hao ulio wazungumzia ni wa dar