Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,281
Kile kicheko jamaniUnaogopa nini tena?
Kile kicheko jamaniUnaogopa nini tena?
Huyu hb au mrembo?!
Hizo za juu tu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mvi zaidi ya hizo nilizonazo
Basi usikijari nilikitoa bahati mbayaKile kicheko jamani
Handsome wanamajivuno hivyo wanaendana na madem wasio na majivuno wale ambao wataweza kujishusha kwao na bahati nzuri/mbaya wale wadada wanaodaiwa sio wazuri/warembo wanajishushaga sana,hii inaenda sambamba pia kwa beautifuly ladies ambao wanakuwa pamoja na ugly guys!!!Halafu sijui kwanini.
Khaaaa kwani kuna mvi na za chiniHizo za juu tu?
Basi usikijari nilikitoa bahati mbaya
Eh eh ehhhh! Mimi sitaki kufika hukoKhaaaa kwani kuna mvi na za chini
Bebi
Sawa sawqMafahari wawili hawakai zizi moja
Lazima atakua mpole na asiyependa vurugu, kama una sifa hiyo basi wewe ni Handsome, jamani nawatakia ucku mwema mi ndo natoka job now.
Nakupendaa wwwVp unapenda ma hb?!
We umeonaje mkuu??Huyu hb au mrembo?!
Njoo pm tuyajengeNakupendaa www
Kijana mremboWe umeonaje mkuu??