Sifa mbaya za makabila yetu


kwa uchawi wanaoongoza kwa sasa ni makabila ya pwani hasa mikoa ya Tanga, Pwani na Lindi
 

Wasukuma si wachawi
 

Basi Watakua Wakwe Zako
 
Mwenyewe nashangaa kweli. Kwann wahehe tunaonewa? Maana siku hizi wachaga wanaongoza kujinyonga
 
Nitafutie msukuma etiii
 

Sidhani kama mpaka karne hii kuna mtu anaamini kabila kama chanzo cha tabia.
 
mkuu upo sahihi hivo vitu mi nmethibitisha nashukuru kabila langu ujataja bilashaka tutakua ni watu wema sana
 

Kwahiyo wezi wote huku town ni wachaga? Mkuu Cc Bujibuji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…