Sifa kuu za Mwanamke High Class ni hizi!

Sahihi kabisa Mkuu
 
Mwanamke wa aina hiyo ni nadra sana kumpata katika jamii hii ya wa kausha damu
 
Tofauti yake ni nini?
Kuwa na class inamhusu mtu binafsi , unaamua kufanya au kuacha mambo fulani fulani for your own comfort. Ila kuwa high class ni kitu kinakihusu wewe in relation to your surroundings. Ninavyoelewa mimi
 
Ooh okay.
 
Tatizo wake zetu high class kwa kawaida siyo Romantic. Hata hapa angalia Mchepuko wangu ulivyo
 
Huwezi amini huwa wana confidence ya ajabu hawa viumbe🫢
An elegant woman doesn’t need just any man. She’s too valuable to settle for less than she deserves huwa naamini hvo .
 
Wanaume wanawaogopa sana aina hii ya wanawake, sanasana wanawafuata kujaribu kuona wakoje basi!
Binafsi napenda kumpata angalau mwenye asilimia 50 tu ya kile alicho ongelea mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…