Sifa kumi za mwanamke asiyekupenda

Hii imetulia Chriss.... Saa ingine hata her body language hasa pose ya mwilin na macho yake yaweza toa siri kua hakuendi ama vipi.

Kuhusu hio number tatu sio kipimo kizuri.... Kuna mwanamke mwingine anaweza akupende hasa lakini ni spender ile mbaya na wala hajui nini afanye kwa ajili ya maendeleo, Acha tu ya kusema aweza kushauri.
 
aisee! Kuna dada niliwahi kuwa naye,ukimpigia simu anakwambia niko bize ntakutafuta baadae kidogo. Mtalala mpaka kesho,ukimpia anaanza kukulaumu eti mbona hukunitafuta? Nilikula kona fasta.!!

Au utakuta mwingine hakutafuti mpaka umtafute..ukimuuliza anakwambia 'siunajua mambo mengi jaman...sometimes naishiwa vocha'...hayaaa kidume unamtumia,ukishamtumia anakubip kama asante yake...ndo imetoka hiyoooo...#Mwanaume unakasirikaaaje...hahahaaaa!
 
Hii imetulia Chriss.... Saa ingine hata her body language hasa pose ya mwilin na macho yake yaweza toa siri kua hakuendi ama vipi.

Kuhusu hio number tatu sio kipimo kizuri.... Kuna mwanamke mwingine anaweza akupende hasa lakini ni spender ile mbaya na wala hajui nini afanye kwa ajili ya maendeleo, Acha tu ya kusema aweza kushauri.

So so true utakuta mdada macho makavu..Macho huzungumza mengi sana,na muongo hujulikana fasta kwa kumuangalia machoni...Huwa hayadanganyi!
 
Lakini inaweza kutokea akawa na wewe lakini haubadliki tabia unadhani afanye nini??wewe tangu muwe wote suruali ina marinda 60!wakati wenzako wana pigilia!
 
So so true utakuta mdada macho makavu..Macho huzungumza mengi sana,na muongo hujulikana fasta kwa kumuangalia machoni...Huwa hayadanganyi!

Naamini saana once in love... Controlling the eyes..... mmmh! yataka moyo. Ndio maana kama you are in love na mtu ambae hajui wamkwepa at all cost... Wahisi atajua. lol
 
Moja kati ya sifa hizo ni wazi kabisa kujing'amua kuliko kujitesa na nafsi yake (yako) kwa muhusika katika mapenzi.
 
yan upo sawa kabisa mana kuna msichana amenifanyia hvyo kwa muda wa mwaka mzma nimempiga chin anajileta na mm nimemchomolea ninae wa ukwel sasa
 
yan upo sawa kabisa mana kuna msichana amenifanyia hvyo kwa muda wa mwaka mzma nimempiga chin anajileta na mm nimemchomolea ninae wa ukwel sasa
Bora kama ulijinasua maana ungezidi kupata hasara moyoni...
 
Naamini saana once in love... Controlling the eyes..... mmmh! yataka moyo. Ndio maana kama you are in love na mtu ambae hajui wamkwepa at all cost... Wahisi atajua. lol

I've been there sista..i understand u bigtime. Ubaya wa hiyo pia...unajikuta unafanya actions za ajabu bila kujijua kama ni out of love...hahhahaaa:A S embarassed:
 
Bora kama ulijinasua maana ungezidi kupata hasara moyoni...

ila chamoto nilikipata mwaka mzma mana anajua kujifanyisha ile mbaya ukiwa na pesa mnaelewana ukiwa huna hamuelewani nikaona hapa hakuna mapenz hapa kuna maigizo na visa visivyoisha ila ulichokisema ndicho kilichokuwepo kwa hawa watu
 
Sure inakera sana....Mwingine unamkaribisha kwenu mkitoka tu anaanza kuwabeza wazazi wako au nyumbani kwenu..live yaani..Mwingine mkiwa pamoja full kumuongelea ex-boifriend na vituko vyake halafu yeye utakuta ndo anatawala maongezi...hahhaahaaa..

Mwingine unakuta anasifia sana magari ya bei mbaya barabarani wakati mko kwenye GX110 yenu tena ya mkopo alafu hajawahi kuisifia hata siku moja! Dah! Inauma sana!
 
Mwingine unakuta anasifia sana magari ya bei mbaya barabarani wakati mko kwenye GX110 yenu tena ya mkopo alafu hajawahi kuisifia hata siku moja! Dah! Inauma sana!

Hahhahaaa...halafu utakuta jamaa aliinunua just to impress her,ndipo anapogundua bibie hajaridhika nayo....bila hata kujali hali ya jamaa kiuchumi. Au utakuta kutwa anawahadithia shoga zake jinsi jamaa alivyo mchafu na tabia mbaya huku akimalizia "najishikiza tu,wala hawezi akanioa"...#Hana mapenzi huyu..
 
I've been there sista..i understand u bigtime. Ubaya wa hiyo pia...unajikuta unafanya actions za ajabu bila kujijua kama ni out of love...hahhahaaa:A S embarassed:

"To love and feel loved" Source: Teamo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom