Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,268
Miradi ya bashe lazima ifeNiende wapi wakati wao wamenizaa ? Ni jukumu la wazazi kunilea, sina mpango wa kwenda popote ! Nao si wana wazazi wao ? Waende kwao, hivo yani
Umeshasema wahindi tabia za watoto wao ni tofauti kabisa.Mitoto ya kiafrika kazi kuiba na kutapanya mali za nyumbani. Mnatakiwa mkanitegemee ukitoka kazini unaelekea ghetoni kwakoMbona wahindi huko mijini hawaondokagi na wanaishi TU!
Wazazi wana jumba kubwa ukahangaike kwenda kupanga huko kwa shida zipi!
Unasaka maisha jioni unarudi home 😁
Huku juu nyumba ni nyingi kiasi kwamba wazee huomba watoto wa ndugu waje wakaenao 🤔
Baba yako angekomalia kwao ungekuwa na hali ganiNiende wapi
Unawalea kiajeNiondokeje ss..acha waendelee kunilea na mm ntawalea pia.
🤣Kama wewe huna kwenu shauri lako, usitupigie kelele.
Mimi nina miaka 55 na bado nipo kwetu, baba asipoacha hela ya nyama nakasirika na nasusa kabisa.
Nyie ndio mnauaga wazaziYani niondoke nijidai kuondoka nyumbani bila ya kufukuzwa? Nikatafute nini huko..
Nauza kitanda na godoroNiende wapi wakati wao wamenizaa ? Ni jukumu la wazazi kunilea, sina mpango wa kwenda popote ! Nao si wana wazazi wao ? Waende kwao, hivo yani
Alitokea duniani lakiniYesu mwenyewe hadi leo yupo kwa Baba yake 🙄
We utakuwa umesha ondoka nyumbani kwenu kama hata kulea wazaz hujui.Unawalea kiaje
Ukishakuwa mtu mzima uwe na maamuziSie Wengine wazazi wetu hawataki tukajitegemee, ko tunatimiza matakwa yao kwa kubaki home.