hasa hapa tunaongelea wale ambao bado hujamuweka ndani....! Ni kwa wale wanaotafuta...Hiyo 8 NAPINGA MKUU,,, hivi MWANAMKE muda wowote ukimtaka unampata,,au unaishi nae KINYUMBA BILA KULAZIMISHA NDOA UTAOA?kama UNAISHI NA MWANAMKE KINYUMBA NA HAZUNGUMZII HABARI YA NDOA,,elewa PENGINE HIPENDWI. ,,HANA MALENGO NA WEWE..AU HAYUPO SAWA KICHWANI...
Sent using Jamii Forums mobile app
bikra inategemea pia. Wengine bikra walitoa kutokana na matatizo mbalimbali au baadhi ya shughuli. Wapo wengine wana sifa hizo zote lakini sio bikra labda kwasababu walikosea mwanzo na hawataki kukosea tena. Kuna wasichana wakipanga kitu kweli wanashikilia misimamo.
haimaanishi kana kwamba husikilizwa sana, ila husikilizwa kwa maana kilio chake kikifika mbinguni kinakuzuia kupata baraka zako. Mwanamke anahesabika kiumbe dhaifu kimaumbile kwa sababu ametoka kwenye ubavu wa mwanaume. Huwezi kupata neema zako kama yeye akimlilia Mungu kwa sababu ya uonevu wako. Kwa hiyo ni vema ukapatane nae kwanza kabla ya kwenda kufanya shughuli zako.Kwa hiyo hapo inamaanisha wanawake husikilizwa zaidi na Mungu? Hebu fafanua zaidi
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Nadhani mantiki kwenye aya hiyo ni MWILI MMOJA ndio maana inasema maombi yenu (wewe na mkeo). Ni rahisi kwa mwanamke kukutoa kwenye njia kwa sababu ya udhaifu wake na hivyo mkajikuta maombi hayana majibu. Hivyo mwonee huruma kila mara katika mapungufu yake ili muwe na amani na pia uishi naye kwa akili usiwe sababu ya yeye kutumia udhaifu wake na hivyo kumkosesha.haimaanishi kana kwamba husikilizwa sana, ila husikilizwa kwa maana kilio chake kikifika mbinguni kinakuzuia kupata baraka zako. Mwanamke anahesabika kiumbe dhaifu kimaumbile kwa sababu ametoka kwenye ubavu wa mwanaume. Huwezi kupata neema zako kama yeye akimlilia Mungu kwa sababu ya uonevu wako. Kwa hiyo ni vema ukapatane nae kwanza kabla ya kwenda kufanya shughuli zako.
Hawajielewi haoUnakuta wao hawana ila wamekomalia kusema wanataka wanawake bikra
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli yaani
[emoji23][emoji23][emoji23]Akijibu ni tag mpendwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uongo wa mchana kweupeIshapitaga
wapo mkuu sema ni kama kutafuta sindano katika kiroba cha mchele. Ila wanapatikana tu...take timehao wanawake walikuepo kwenye kitabu cha mwanzo kilichoandikwa na nabii Musa .
Tulionao saa hizi wamebaki na misambwanda tuh akili hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uongo wa mchana kweupe
Seek respect, not attention. It lasts longer
Asante sana mkuu. Wewe ndiyo umeongeawapo ila huwezi kumpata aliye bora kama wewe sio bora. Never, lazima utafanana nae tu...kwa namna moja u nyingine.