Sifa 10 za mwanamke bora wa kuoa

Sifa 10 za mwanamke bora wa kuoa

hakuna MWANAMKE SAHIHI wa kuoa ila kuna KANUNI SAHIHI za kuishi na mwanamke..mwanamke yeyote anaweza akawa sahihi(wife material ) kama utaishi nae kwa kanuni sahihi..

Hakuna general features za mwanamke wa kuoa..wewe unaweza kumuona anafaa kuolewa ila mwingine akaona hafai...

Kila mtu apambane na mechi zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usahihi upo moyoni mwako, kwasababu mwanaume hupenda na kutamani kwa macho kwanza, kabla ya vingine kuvijua. Ubora unakuja baada ya kukaa nae kwa mda fulani, ndio maana tunashauriwa, no matter what.... subiri kwanza, fahamianeni vizuri, usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia. Kanuni za kuishi na mwanamke huwezi kuapply kwa wanawake wote, isipokuwa kwa wale bora. Kuna baadhi ya wanawake kwenye akili zao hawakubaligi kujitoa kwa mwanaume, huona uongo mda wote machoni pao hata ukimlamba miguu. Hasa hawa ni wale walioshuhudia mnyanyaso hasa wa mzazi wake wa kike.
 
Anipende na aniheshim, hizo zingine ni mbwe mbwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuheshimu, kwahiyo siku aki-miss mazoea yake (ule uhalisia wake wenyewe), atafanya kwa kificho ili usijue, maana hatapenda ujue au ufahamu kwasababu utaumia. Kimbembe kitakuja pale kwa bahati mbaya au nzuri ukajua. Ndio hapo utagundua nini maana ya...behind your back.
 
Kama hatoi ndogo hafai. Akiwa anableed halafu wewe unataka itakuaje sasa?
Kwani hujasoma msisitizo wa mtoa mada pale mwishoni? Tafuta wa kufanana nawe mkanajisiane vizuri.
 
Hiyo #9 wanaume wengi huwa hawawezi
Ni wwnafiki Sana

Na hapo Kwenye mapambo

Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume sio hawawezi bali ndio anatambua thamani yako iwapo ukiwa strong. Huwa tunachanganyikiwa sawa tukishindwa kumshawishi msichana na huwa kweli tunamfuatilia mtu mpaka miaka 9 na kweli toka ndani ya moyo, huwa tunaheshimu sana wasichana unique na wagumu na wababe kidogo. Asikudanganye uimara ni silaha.
 
Wewe kama una mkosi wako unao..hereni na wig si sababu
Ndio dizaini ile unaambiwa mama, badilika uwe msafi... mumeo asikute nzi ndani, asikanyage michanga...halafu wewe unajibu wanaume hata umpe nini haridhiki, usafi sio sababu, Nampikia nampa kila kitu lakini haridhiki. Lakini hujui kuwa hawezi kuwa na hisia na wewe kisa uchafu ila akitoka nje, shughuli inawaka. Tuache ubishi, wewe fanya utafiti wako tu.
 
Ndio dizaini ile unaambiwa mama, badilika uwe msafi... mumeo asikute nzi ndani, asikanyage michanga...halafu wewe unajibu wanaume hata umpe nini haridhiki, usafi sio sababu, Nampikia nampa kila kitu lakini haridhiki. Lakini hujui kuwa hawezi kuwa na hisia na wewe kisa uchafu ila akitoka nje, shughuli inawaka. Tuache ubishi, wewe fanya utafiti wako tu.
Wig +hereni 😍
 
Back
Top Bottom