Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
😂😂😂😂😂 eti kazingua....
Hayo jamaa kazingua au sio!
Halafu #7 sikuona
Hivi unadhani hizi sifa zote ni za viumbe hai kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
#7 nimeona imesheheni sifa kibao..
Kumpata mwanamke mmoja mwenye hizo sifa zote ni mtihani labda uoe wanawake wanne tofauti alafu uwachezeshe Puzzle 😀




