Askarimtu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 277
- 185
- Thread starter
- #121
hasa hapa tunaongelea wale ambao bado hujamuweka ndani....! Ni kwa wale wanaotafuta...Hiyo 8 NAPINGA MKUU,,, hivi MWANAMKE muda wowote ukimtaka unampata,,au unaishi nae KINYUMBA BILA KULAZIMISHA NDOA UTAOA?kama UNAISHI NA MWANAMKE KINYUMBA NA HAZUNGUMZII HABARI YA NDOA,,elewa PENGINE HIPENDWI. ,,HANA MALENGO NA WEWE..AU HAYUPO SAWA KICHWANI...
Sent using Jamii Forums mobile app


