Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,552
- 235,326
Unajua nimemaanisha Nini?[emoji23][emoji23][emoji23] umeanza sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nimemaanisha Nini?[emoji23][emoji23][emoji23] umeanza sasa
Unakuta wao hawana ila wamekomalia kusema wanataka wanawake bikraWewe unayo mkuu?
Umemaanisha ucomedy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemaanisha ucomedy
😁 Hahah! Kuhusu mada sina cha kusema zaidi nimechukua ushauri ambao nitaufanyia kazi hapo baadae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasemaje kuhusu mada hapo juu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile point #9 unaiongeleaje?[emoji16] Hahah! Kuhusu mada sina cha kusema zaidi nimechukua ushauri ambao nitaufanyia kazi hapo baadae
Eeh gawa sasa uone akishapata kama atarudi tena, ila usigawe uone kama hatakuwa anakusumbua kila mara. Sio mawigi tu, tutasifia mpaka funza mpaka upatikane tu.Yaani wanaume acheni uongo.
Mwanaume anakung'ang'aniza sex Hadi unashangaa unamgomea mnaachana
Halafu Leo hii mnasema mwanamke asiyependa sex
Kila siku mnashinda kusifia mawigi ya wadada halafu Leo hii mnasema asiyependa mawigi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sigawi na ashachukua hamsini zakeEeh gawa sasa uone akishapata kama atarudi tena, ila usigawe uone kama hatakuwa anakusumbua kila mara. Sio mawigi tu, tutasifia mpaka funza mpaka upatikane tu.
Hasiye na tamaa, Hasieyumbishwa na mali ✌
exactly...ila pia unaweza kuzungumzia ikawa kama test tu.Halafu ukitaka kumpata binti wa hivyo wala usianze na kuzungumzia mambo ya sex!
Take time huku ukionesha unampenda tu vile alivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😆😀Hiyo #14[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisaHalafu wanawake wa hivyo hawezi kufanya haraka kukupa papa [emoji108][emoji108]
Binti anayejitunza hawezi kukubari kirahisi kuutoa mwili wake kwa mwanamme .
Sasa kwa ninyi hamna subira mnajikuta mnapishana na mabinti wa wenye hiyo sifa [emoji108][emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekumbuka comment yako hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji38][emoji3]
KabisaHalafu wanawake wa hivyo hawezi kufanya haraka kukupa papa [emoji108][emoji108]
Binti anayejitunza hawezi kukubari kirahisi kuutoa mwili wake kwa mwanamme .
Sasa kwa ninyi hamna subira mnajikuta mnapishana na mabinti wa wenye hiyo sifa [emoji108][emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanazuga tu siku za mwanzo mwanzoHalafu ukitaka kumpata binti wa hivyo wala usianze na kuzungumzia mambo ya sex!
Take time huku ukionesha unampenda tu vile alivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hasiye na tamaa, Hasieyumbishwa na mali [emoji111]
Ila hayo maelezo yaliyoendelea baada ya hapo [emoji2357]