11: wakati mimi naangalia Discovery science, National geographic, supersports, BBC/Aljezeera, Smithsonian channel, Investigative Discovery nk yeye aombe rimoti kuweka soaps, fashion, mziki laini nk
12: mi nikinunua Ford Ranger wildtrac la kutembelea yeye aombe nimnunulie opa, nadia na nyingine kama hizo sio land cruiser mkonga
13: asijue vitu vingi kuliko mimi katika sphere zote za maisha labda alichosomea tu nacho tunapokuja kwenye experience ya kile kitu mtaani natakiwa nimzidi..
14: awe muoga wa vyote vinavyotisha kuanzia wanyama, movie, giza nk sio mnaigiliwa na nyoka ndani mkeo ndo anamuua halafu anakuwa anamshika anatishia kukurushia. Always anitambue kama mlinzi na kiongozi katika kuyakabili haya yanayomtisha
Cc
Likud