πππππ eti kazingua....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hayo jamaa kazingua au sio!
Halafu #7 sikuona[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unadhani hizi sifa zote ni za viumbe hai kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Saint Anne upo tu kwa ajili ya ukomedi ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hayo jamaa kazingua au sio!
Halafu #7 sikuona[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unadhani hizi sifa zote ni za viumbe hai kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu binti angu mwenye mbeleni atakengeuka,unadha i hawa pasua kichwa hawakuzaliwa na wazazi bora??tena wengine ni watoto wa walimu,wachungaji,prominent figures ,mashehe ila wameshindikanakama unaona huwezi kupata qualities hizo....make your daughters meet those qualities (peculiarities). Hapo na wewe utakuwa kiwanda bora kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kazingua....
#7 nimeona imesheheni sifa kibao..
Kumpata mwanamke mmoja mwenye hizo sifa zote ni mtihani labda uoe wanawake wanne tofauti alafu uwachezeshe Puzzle [emoji3]
Hapana boss
Kumbukeni na sisi tuna sifa zetu tunazozitaka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali umekuwa mkweli
Sifa zote kwa mtu mmoja kwa kweli Ni uongo.
Labda utengeneze wako
Hiyo puzzle hatutaki kuchezewa sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ mnakuwa mnapishana tuKumbukeni na sisi tuna sifa zetu tunazozitaka.
Usije ukawa unataka wa hizo sifa halafu Wewe huna sifa zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hapo inamaanisha wanawake husikilizwa zaidi na Mungu? Hebu fafanua zaidi1 PETRO 3:7
Kadhalika ninyi waume, ishini na wake zenu kwa kuwahurumia, mkitambua ya kuwa wao ni dhaifu na hivyo muwape heshima, kwa maana ninyi ni warithi pamoja nao wa neema ya uzima. Fanyeni hivyo ili sala zenu zisizuiliwe.
Ni utani sijamaanisha kweli mkuu
Ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23] mnakuwa mnapishana tu
Aha sawa.Ni utani sijamaanisha kweli mkuu
Kwajina la Mungu sijakuelewa dingilaiAtakuheshimu, kwahiyo siku aki-miss mazoea yake (ule uhalisia wake wenyewe), atafanya kwa kificho ili usijue, maana hatapenda ujue au ufahamu kwasababu utaumia. Kimbembe kitakuja pale kwa bahati mbaya au nzuri ukajua. Ndio hapo utagundua nini maana ya...behind your back.
πππShauri yako sitakuwepo kukukanda mbavu.Nimekumbuka comment yako hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji38][emoji3]Shauri yako sitakuwepo kukukanda mbavu.
Wewe umewahi kumuomba ndogo mumeo?