Siendi tena mjini!!!

Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,084
4,351
Huku kwetu ukiskia mtu anaenda mjini ujue Kariakoo hiyo kwa wahindi!!........ Kweeli mi wakupotea mjini?? Nimesikitika haki ya nani!!!
 
Mmh hivi ni wewe wamekuonyesha itv kwamba anatafuta ndugu zake?

Uliva tshet ya mistari mistari.
 
Mmh hivi ni wewe wamekuonyesha itv kwamba anatafuta ndugu zake?

Uliva tshet ya mistari mistari.

hahahaha!! Kaja hapa sijui ndo nani huyu wa itv ananihoji,nimemwambia asintangaze!! Nnawaswasi hapa na jijiletu !!
 
Huku kwetu ukiskia mtu anaenda mjini ujue Kariakoo hiyo kwa wahindi!!........ Kweeli mi wakupotea mjini?? Nimesikitika haki ya nani!!!

Samahani kidogo mimi mgeni hapa jijini, napenda kuuliza hivi mjini ni posta au kariakoo.Asanteni kwa kunielewa.
 
Back
Top Bottom