Siendi Arusha

Siendi Arusha

Lema kachuja, the so called makamanda wameshamchoka na vituko vyake, wanadai kachemka sana, CCM ina nafasi ya kushinda Arusha, hata Lema akiwepo, mbowe, kibabu na wengineo, mje wote, ili tushinde fair and square, tutakuwepo sisi, chama si mtu mmoja, na haijawahi tokea hivyo,
 
magufuli alipokuja na baba rizione kufungua jiji na barabara zake hakusita kutusalimia kwa salam ya cdm,nilisikia akisalimia peoplesssssssssss, nasi tukaitikia poweeeeeerrrrrr
 
Huko mtapoteana siku ya kutangaza matokeo mtaraudi dodoma kimya kimya!!!!!!!!!
 
Ni jana tu nimemkaribisha kada wa zaman wa chadema,ndugu Cris lukosi ambaye kwa sasa yuko ccm ila nkampa tahadhar tu kuwa akija arusha aje kamilifu mana vijana wa arusha wako tofauti sana. Si tu kuwa wanaipenda chadema ila wengne tatzo wanapuliza zao kuu la biashara lisiloruhusiwa. Mnakaribishwa wote...mi kwa kweli kwenye kampeni sitatia mguu huko.
 
Nillingojea hii, wala usije mzee.

Huku mtuachie sisi wenyewe.
 
A-city HipHop city, the place where machizi kitaani wanaunguza bila udi!!
Jichunge beto ikitoka hairudi, umezaliwa uzunguni usipiganie unga ltd.
 
Vuta Nikuvute....Stori zako zimekaa ki-unspecific unspecific....ni kama vile unataka kuwaaminisha watu kwamba wewe ni kweli upo kwenye inner cycle ya mtaa wa Lumumba.....habari zako mara nyingi ni za "kusikia" na kila mmoja wetu anaweza akawa anatunga kama ufanyavyo......Yaani nafananisha na wale watu anayekwambia "Mnakaa nyumba ya bati","kwenu mwapikia sufuria","mara nyingi mnakula ugali".....

Kila mtu anaelewa kwamba katika Uchaguzi wowote kila chama kinachodhani kina uwezekano wa kushinda,kitatuma kikosi kazi...hivyo hiyo sio habari ya kusema kwamba ni kitu ambacho lazima mtu awe kwenye inner cycle kutambu hilo.
 
Wewe unataka aseme Nape ndio Uamini? Mbona kinana ahajawahi kusema yeye ni Mwizi wa meno ya tembo?
 
Vuta Nikuvute....Stori zako zimekaa ki-unspecific unspecific....ni kama vile unataka kuwaaminisha watu kwamba wewe ni kweli upo kwenye inner cycle ya mtaa wa Lumumba.....habari zako mara nyingi ni za "kusikia" na kila mmoja wetu anaweza akawa anatunga kama ufanyavyo......Yaani nafananisha na wale watu anayekwambia "Mnakaa nyumba ya bati","kwenu mwapikia sufuria","mara nyingi mnakula ugali".....

Kila mtu anaelewa kwamba katika Uchaguzi wowote kila chama kinachodhani kina uwezekano wa kushinda,kitatuma kikosi kazi...hivyo hiyo sio habari ya kusema kwamba ni kitu ambacho lazima mtu awe kwenye inner cycle kutambu hilo.
Mkuu, Hata mimi ninamshangaa sana huyu VUTA-NKUVUTE.

Huku ni kuidharirisha siyo taaluma yake ya sheria tu bali pia wale wanasheria hasa wanaoishi kwa misingi ya kisheria kama wanavyoitoa kwa jamii.

I dread to have YAKUZA law maker & lawyers in Tanzania iwapo hata wanasiasa nao wamekuwa ni wale wale.

Kwa nini tusiwe na siasa safi nchini kwa faida ya vizazi vijavyo.

Anyway, pole pole tutafika ...
 
Vuta Nikuvute....Stori zako zimekaa ki-unspecific unspecific....ni kama vile unataka kuwaaminisha watu kwamba wewe ni kweli upo kwenye inner cycle ya mtaa wa Lumumba.....habari zako mara nyingi ni za "kusikia" na kila mmoja wetu anaweza akawa anatunga kama ufanyavyo......Yaani nafananisha na wale watu anayekwambia "Mnakaa nyumba ya bati","kwenu mwapikia sufuria","mara nyingi mnakula ugali".....

Kila mtu anaelewa kwamba katika Uchaguzi wowote kila chama kinachodhani kina uwezekano wa kushinda,kitatuma kikosi kazi...hivyo hiyo sio habari ya kusema kwamba ni kitu ambacho lazima mtu awe kwenye inner cycle kutambu hilo.

Wewe mbona hukusema kabla...acha wivu. Unamjua mleta hoja?
 
Back
Top Bottom