Siendi Arusha

Siendi Arusha

Mkuu, Hata mimi ninamshangaa sana huyu VUTA-NKUVUTE.

Huku ni kuidharirisha siyo taaluma yake ya sheria tu bali pia wale wanasheria hasa wanaoishi kwa misingi ya kisheria kama wanavyoitoa kwa jamii.

I dread to have YAKUZA law maker & lawyers in Tanzania iwapo hata wanasiasa nao wamekuwa ni wale wale.

Kwa nini tusiwe na siasa safi nchini kwa faida ya vizazi vijavyo.

Anyway, pole pole tutafika ...

Hoja yako ni nini hasa Mkuu?
 
tumepokea ujumbe toka makao makuu ya ccm kuwa tunatakiwa kwenda arusha kuhakikisha kuwa wagombea wetu wa udiwani katika kata zinazorudia uchaguzi hapo juni 16 wanaibuka na ushindi. Eti,tutoke hapa dodoma mapema ili tuwahi arusha kuanza 'kuwalisha sumu' wapigakura wa arusha katika kata husika. Eti,chama chetu kimejipanga kuibuka washindi dhidi ya wapinzani wetu hasa chadema.

Mimi siendi arusha. Tumeshashindwa kabisa uchaguzi huo wa madiwani arusha. Arusha ccm haiuziki,haiaminiki. Tulijitahidi kuwalaghai madiwani wa zamani wa kata hizo ili wahamie ccm. Wakakataa kuhama lakini wakaahidi kuwa 'kiburi' kwa chadema. Wakafanya kweli.wakafukuzwa. Sasa wanajiandaa kuhamia rasmi ccm na kusimamishwa kama wagombea wetu.

Hatahivyo, siendi arusha. Hao madiwani wote wa zamani sasa hawaaminiki arusha.ni wasaliti kwa chadema na wapigakura wao. Hawataweza kuiepusha aibu ya ccm pale arusha. Nani atapambana jukwaani na lema? Nani atamzidi kete mawazo wa sombetini? Sipo tayari kwenda kujidhalilisha. Arusha si mahali pa kwenda.

Pamoja na tume ya uchaguzi kupanga uchaguzi mwezi wa sita ili 'kuwazuia' akina-lema bungeni,bado niwajuavyo chadema,wana timu kabambe ya kampeni hata bila lema wa arusha. Kwa hili la kwenda arusha kusimamia harakati za uchaguzi wa madiwani,nipo tayari kulaumiwa.mimi siendi. Nitabaki hapa dodoma kushuhudia 'vituko' vya wabunge wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania.

Nieleweke kuwa: Arusha siendi.

vuta-nkuvute aka mzee tupatupa wa lumumba,dar es salaam(sasa dodoma)

na usije kabisa arusha
 
Jibu swali au acha.Usiulize swali kwa swali
Unajua katika maisha yangu, kila ninapokumbana na situation kama hii huwa inanikumbusha ule usemi maarufu wa Mwl. Nyerere aliposema "Mtu mwenye akili akijua kuwa na wewe una akili akakuuliza swali la kipumbavu na wewe ukalijibu, huyo mtu atakudharau sana."

Unaponiuliza swali wakati jibu lake unalifahamu vizuri, unataka upime nini na kwa faida ya nani kwenye thread ambayo majibu yake unayafahamu.
 
tumepokea ujumbe toka makao makuu ya ccm kuwa tunatakiwa kwenda arusha kuhakikisha kuwa wagombea wetu wa udiwani katika kata zinazorudia uchaguzi hapo juni 16 wanaibuka na ushindi. Eti,tutoke hapa dodoma mapema ili tuwahi arusha kuanza 'kuwalisha sumu' wapigakura wa arusha katika kata husika. Eti,chama chetu kimejipanga kuibuka washindi dhidi ya wapinzani wetu hasa chadema.

Mimi siendi arusha. Tumeshashindwa kabisa uchaguzi huo wa madiwani arusha. Arusha ccm haiuziki,haiaminiki. Tulijitahidi kuwalaghai madiwani wa zamani wa kata hizo ili wahamie ccm. Wakakataa kuhama lakini wakaahidi kuwa 'kiburi' kwa chadema. Wakafanya kweli.wakafukuzwa. Sasa wanajiandaa kuhamia rasmi ccm na kusimamishwa kama wagombea wetu.

Hatahivyo, siendi arusha. Hao madiwani wote wa zamani sasa hawaaminiki arusha.ni wasaliti kwa chadema na wapigakura wao. Hawataweza kuiepusha aibu ya ccm pale arusha. Nani atapambana jukwaani na lema? Nani atamzidi kete mawazo wa sombetini? Sipo tayari kwenda kujidhalilisha. Arusha si mahali pa kwenda.

Pamoja na tume ya uchaguzi kupanga uchaguzi mwezi wa sita ili 'kuwazuia' akina-lema bungeni,bado niwajuavyo chadema,wana timu kabambe ya kampeni hata bila lema wa arusha. Kwa hili la kwenda arusha kusimamia harakati za uchaguzi wa madiwani,nipo tayari kulaumiwa.mimi siendi. Nitabaki hapa dodoma kushuhudia 'vituko' vya wabunge wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania.

Nieleweke kuwa: Arusha siendi.

vuta-nkuvute aka mzee tupatupa wa lumumba,dar es salaam(sasa dodoma)

usiende mkuuachana nao, lema hata wafanyeje, ataenda tu, alafy matokeo yanajulikana hata aje nani!
 
mkuu, tayari tushaandaa zana zote muhimu kwaajili ya shambulizi.
Tunawasubiri gambaz waje tu, tayari weshaandaliwa buffee la aibu!.

mkuu jimmy nakuaminia makamanda wa arachuga sijawahi ona,

naamini kama mpira ni dakika 90, basi naamini cdm-90,ccm-0, pamoja sana makamanda waambie vijana wa toyo wajiandae kumeki superprofit toka kwa mafisadi najua lowasa hatoamini tena.... Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Aliyeleta mada ni mwana cdm, alafu mnajijibu wenyewe, du?????????????????????/
 
mkuu, hata mimi ninamshangaa sana huyu vuta-nkuvute.

Huku ni kuidharirisha siyo taaluma yake ya sheria tu bali pia wale wanasheria hasa wanaoishi kwa misingi ya kisheria kama wanavyoitoa kwa jamii.

I dread to have yakuza law maker & lawyers in tanzania iwapo hata wanasiasa nao wamekuwa ni wale wale.

kwa nini tusiwe na siasa safi nchini kwa faida ya vizazi vijavyo.

anyway, pole pole tutafika ...

mkuu unamjua mleta uzi huu, au unaongea kwa hisia zako tu??

Hapo nilipobold-bluu waulize watu wa lumumba, na majangili ya tembo, na watorosha twiga wetu, waulize pia kwa nini umaskini umeongezeka badala ya kupungua.... Na dhahabu imeisha lakezone
 
Yes, I know him/her/shemale.
 
Kaka umeshaiona aibu nitakuita kiona mbali. Mwachie Mwigulu ajikoki tumpopoe pale viwanja vya tindigani
 
Aliyeleta mada ni mwana cdm, alafu mnajijibu wenyewe, du?????????????????????/
Ulitaka nepi au mwizi wa tembo aseme hadharani ndio uamini au???acha ukilaza wewe gamba jeikei nchi ishamshinda....nahili unaliamini au unakataa?
 
Hamia CCM Mkuu najua wewe ni mwana Chadomo unaogopa magaidi wenzako.Kuwapa Magaidi Arusha kutapunguza Utalii na maendeleo kwa ujumla wa mji wa Arusha.
 
MACCM bwana wanaenda kutafuta nini wakati walisema huko kanda ya kaskazini ni kwa chama cha wachaga watalijua jiji
 
Mtaje. Acha zako bwana
Unataka nimtaje kwa faida yako au ya nani?. Why are you so interested?.

Acha Kujifunika taulo machoni na kufumba macho huku ukijifanya huzioni sheria za NAME CALLING kama zilivyowekwa na wataalamu halisia wa sheria za utandawazi Jamii forum.

Kwa wataalamu wa sarakasi za ulinzi, hakuna kitu kibaya kwa UNDERCOVER kudhani yuko 'OVERCOVER'.

Anyway, pole pole tutafika...?
 
Back
Top Bottom