Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
waende makomredi,NCHEMBA
LUSINDE
NKAMIA
SERUKAMBA.
wakipiga matusi kidogo tu CHADEMA chaliii!!!
Wakija hawa CCM imekosa ushindi 100% na ukitoa hawa sijui utaleta akina nani??
Yetu macho.
waende makomredi,NCHEMBA
LUSINDE
NKAMIA
SERUKAMBA.
wakipiga matusi kidogo tu CHADEMA chaliii!!!
Mkuu inawezekana Japani ikawa inahitaji hizo scrapper ajili ya kuyeyusha na kufanya recycling.
Point of correction, Neno halisi ni SCRAP SIYO SCRAPPER , epuka Mulugo style .
mzee Tupatupa wewe ni noma!! uliona mbali maana hii ilikuwa aibu ya mwaka!! 4-0 sijui zingine ungezificha wapi kwenye koti... Nasikia jamaa aka savimbi alitoka nduki usiku wa manane bila kuaga -- vijana wakamwambia hii siyo singida ni A-Town.Tumepokea ujumbe toka Makao Makuu ya CCM kuwa tunatakiwa kwenda Arusha kuhakikisha kuwa Wagombea wetu wa Udiwani katika Kata zinazorudia uchaguzi hapo Juni 16 wanaibuka na ushindi. Eti,tutoke hapa Dodoma mapema ili tuwahi Arusha kuanza 'kuwalisha sumu' wapigakura wa Arusha katika Kata husika. Eti,chama chetu kimejipanga kuibuka washindi dhidi ya wapinzani wetu hasa CHADEMA.
Mimi siendi Arusha. Tumeshashindwa kabisa uchaguzi huo wa Madiwani Arusha. Arusha CCM haiuziki,haiaminiki. Tulijitahidi kuwalaghai Madiwani wa zamani wa Kata hizo ili wahamie CCM. Wakakataa kuhama lakini wakaahidi kuwa 'kiburi' kwa CHADEMA. Wakafanya kweli.Wakafukuzwa. Sasa wanajiandaa kuhamia rasmi CCM na kusimamishwa kama Wagombea wetu.
Hatahivyo, siendi Arusha. Hao Madiwani wote wa zamani sasa hawaaminiki Arusha.Ni wasaliti kwa CHADEMA na wapigakura wao. Hawataweza kuiepusha aibu ya CCM pale Arusha. Nani atapambana jukwaani na Lema? Nani atamzidi kete Mawazo wa Sombetini? Sipo tayari kwenda kujidhalilisha. Arusha si mahali pa kwenda.
Pamoja na Tume ya Uchaguzi kupanga uchaguzi mwezi wa sita ili 'kuwazuia' akina-Lema Bungeni,bado niwajuavyo CHADEMA,wana timu kabambe ya kampeni hata bila Lema wa Arusha. Kwa hili la kwenda Arusha kusimamia harakati za uchaguzi wa Madiwani,nipo tayari kulaumiwa.Mimi siendi. Nitabaki hapa Dodoma kushuhudia 'vituko' vya Wabunge wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nieleweke kuwa: Arusha siendi.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam(sasa Dodoma)
Ilikuwa iwe 5-0 wamshukuru refa.mzee Tupatupa wewe ni noma!! uliona mbali maana hii ilikuwa aibu ya mwaka!! 4-0 sijui zingine ungezificha wapi kwenye koti... Nasikia jamaa aka savimbi alitoka nduki usiku wa manane bila kuaga -- vijana wakamwambia hii siyo singida ni A-Town.
Ilikuwa iwe 5-0 wamshukuru refa.