Sielewi nini shida msaada please

Sielewi nini shida msaada please

Ulimbania sana iyo siku akawa na usoongo na wewe soo hata maandalizi hakukufanyia inauma koz migenye imechokozwa na hakuzichokonoa na kuzitoazoteee..pili ivi ni kweli ulikaa mwaka bila kuguswa na dushee?pole wee mwambie aje uurudie mchezo aweke mambo sawa
 
Picha tafadhali ili upate jibu sahihi
 
Nina mpenzi wangu tangu tumeanza mahusiano tumekaa mwaka bila kufanya mapenzi.

Wiki moja iliyopita tulifanya kwa mara ya kwanza.

Lakini sasa leo ni siku ya sita hii kitu bado inauma.

Embu nisaidieni ni kawaida nimekaa muda mrefu bila kuduu au jamaa atakuwa na kitu kikubwa kuliko kitu yangu au ni nini.

nina mda kama wa mwaka na miezi 9 kwaiyo na mm nitaumia duhhhhhhh i seeeee
 
Nina mpenzi wangu tangu tumeanza mahusiano tumekaa mwaka bila kufanya mapenzi.

Wiki moja iliyopita tulifanya kwa mara ya kwanza.

Lakini sasa leo ni siku ya sita hii kitu bado inauma.

Embu nisaidieni ni kawaida nimekaa muda mrefu bila kuduu au jamaa atakuwa na kitu kikubwa kuliko kitu yangu au ni nini.

kacheki.. gonnorea na syphilis ni magonjwa ya dalili hizo..
 
loading error....................................lolest
 
Hahahaha haki ya nani kutokujuana raha sana yani unajiachia utakavyo
 
Mmmmmh unantisha, inamaana mie maumivu yangu yatakuwa triple coz nnamiaka tiriri cja.....!
 
Vitu vingine buana vinachekesha na kuudhi hapo hapo.....Jieleze vizuri wakueleweshe wajuzi wa mambo Bi midizi Senene.
 
pole sana dada. Dawa hii hapa...
Chukua kitunguu saumu, tangawizi, kinguu cha kawaida na pilipili kichaa au manga. Changanya kwenye kinu kidogo twanga hadi iwe unga.

Chemsha huo unga unga/mchanganyika kwa nusu dakika. Then kamua maji yake kama glass tatu.

Hayo maji utaoshea pale panapouma asubuhi mchana na jioni

all the best!!

utauwa
 
Back
Top Bottom