Sielewi nini shida msaada please

Sielewi nini shida msaada please

Jaribu kuweka ujazo wa maelezo ili tukusaidie hiyo kitu.
Inauma kwenye ukuta wa ndani, au inauma kwenye kiingilio (mlango wa k)?

ni kwenye mlango wa k.I mean juujuu.na wala siwashwiii wala hakuna uchaf wowote
 
Pole sana dada. Dawa hii hapa...
Chukua kitunguu saumu, tangawizi, kinguu cha kawaida na pilipili kichaa au manga. Changanya kwenye kinu kidogo twanga hadi iwe unga.

Chemsha huo unga unga/mchanganyika kwa nusu dakika. Then kamua maji yake kama glass tatu.

Hayo maji utaoshea pale panapouma asubuhi mchana na jioni

All the best!!

Ndugu unamtakia mema mwenzio kweli? Pilipili kichaa kwenye k? Jamani na tangawizi kwenye K? Mmmmhh!!! Loh! Huu ni uaji......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Chemsha maji ya moto tia chumvi kisha uikande kitu yako utapata nafuu.

Nina mpenzi wangu tangu tumeanza mahusiano tumekaa mwaka bila kufanya mapenzi.

Wiki moja iliyopita tulifanya kwa mara ya kwanza.

Lakini sasa leo ni siku ya sita hii kitu bado inauma.

Embu nisaidieni ni kawaida nimekaa muda mrefu bila kuduu au jamaa atakuwa na kitu kikubwa kuliko kitu yangu au ni nini.
 
kumbe wew ni me??? aiseee tisha sana nadhan mtwangio wa kinu unataka kuingia kwe tundu la sindano pole kwa maumivu ukubwa huo hehrheheeee
 
Jamani MWANAMALUNDI yuko wapi mbana kapotea sana maana angeshamaliza haya mastori
 
Nina mpenzi wangu tangu tumeanza mahusiano tumekaa mwaka bila kufanya mapenzi.

Wiki moja iliyopita tulifanya kwa mara ya kwanza.

Lakini sasa leo ni siku ya sita hii kitu bado inauma.

Embu nisaidieni ni kawaida nimekaa muda mrefu bila kuduu au jamaa atakuwa na kitu kikubwa kuliko kitu yangu au ni nini.

jamaaa alikamia show kweli kweli.
 
!
!
inawezekana akawa na dushe kubwa ila duniani hakuna dushe kubwa ambayo haiwezi penya papuchi. Imepenyaje hilo ndio la muhimu. Zaidi ya hapo nipiem nikusaidie zaidi ili tusipigwe ban.
 
Back
Top Bottom