Sielewi nini shida msaada please

Sielewi nini shida msaada please

Nina mpenzi wangu tangu tumeanza mahusiano tumekaa mwaka bila kufanya mapenzi.

Wiki moja iliyopita tulifanya kwa mara ya kwanza.

Lakini sasa leo ni siku ya sita hii kitu bado inauma.

Embu nisaidieni ni kawaida nimekaa muda mrefu bila kuduu au jamaa atakuwa na kitu kikubwa kuliko kitu yangu au ni nini.

nitafute nikufanyie uchunguzi wa kitaalamu , usikute una kitu serious.
 
Kwa hiyo unachotaka kusema ni kuwa k yako ndogo?

K yako tight au?

Mmmh sorry ila imekaa kama promo

Anyway....

Jikande na maji ya uvuguvugu
 
Mtuhumiwa umemwambia lakini? Kakushauri nini?
 
Pole sana dada. Dawa hii hapa...
Chukua kitunguu saumu, tangawizi, kinguu cha kawaida na pilipili kichaa au manga. Changanya kwenye kinu kidogo twanga hadi iwe unga.

Chemsha huo unga unga/mchanganyika kwa nusu dakika. Then kamua maji yake kama glass tatu.

Hayo maji utaoshea pale panapouma asubuhi mchana na jioni

All the best!!
 
Kanda na maji ya moto...nasikia ndio wanavyofanyiwa wadada walioolewa wakiwa hawajaguswa...inawezekana umepata same effect kama ma bikra...
 
Back
Top Bottom