Sielewi nini shida msaada please

Kokubanza-G

Senior Member
Oct 2, 2013
111
21
Nina mpenzi wangu tangu tumeanza mahusiano tumekaa mwaka bila kufanya mapenzi.

Wiki moja iliyopita tulifanya kwa mara ya kwanza.

Lakini sasa leo ni siku ya sita hii kitu bado inauma.

Embu nisaidieni ni kawaida nimekaa muda mrefu bila kuduu au jamaa atakuwa na kitu kikubwa kuliko kitu yangu au ni nini.
 
nna mpnz wang tangu tumeanza mahusiano tumekaa mwaka bila kufanya mapnz.Wik moja ilopta tulifanya kwa mara ya kwanza.lakn sasa leo ni siku ya sita hii kitu bado inauma.Em nsaidien ni kawaida koz nmekaa mda mref bila kuduu au jamaa atakua na kitu kikubwa kuliko kitu yangu au ni nn.

"Kwa nini umetenda dhambi Kokubanza-G kwa nini?"...

Naamini hivyo ndivyo sauti ya Mungu iliyopo ndani yako inakuuliza kwa upole...
 
Last edited by a moderator:
Koku;
Angalia sana. We wafanya utani kila kitu hapa jf. Siku sita bado kunauma?? Isijekuwa kakuachia kaugonjwa humo! Ohooo. Kunauma au kunawasha??
Ulivyombania siku zooote hizo, kulitokea nini tena ukafungua njia? We baku kuwaza ya juzi. Lilikuwa kuubwa usisikie au kalikuwa karefu kembamba sana usisikie kilipogonga mwisho hata kakasukuma ukuta. Weye wa ajabu kweli, ulibaki kujipigia kelele za midadi huku waharibiwa
 
Kweli katiba mpya imeahirishwa.,haya wenye uzoefu wamsaidie,msimlaumu ndiyo kikomo cha uwezo wke wa kufikir hicho.
 
Jaribu kuweka ujazo wa maelezo ili tukusaidie hiyo kitu.
Inauma kwenye ukuta wa ndani, au inauma kwenye kiingilio (mlango wa k)?
 
Back
Top Bottom