Sielewi hawa wasanii wanafanya muzik wa aina gan

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,623
Habari wakuu wa jukwaa kuna hawa wasanii mimi huwa sielewi wanafanya music wa aina naomba mwenye kujua anisaidie

Linex
Mwana fa
Baba levo
Hamonizer
Dudu baya
Nay wa mitego
Quik laka
 
Kikubwa wanapata pesa.

Mambo ya aina Muziki wanaofanya ndio iliwafanya wengine wafe maskini na kukimbilia kubwia unga kumaliza stress.
 
Habari wakuu wa jukwaa kuna hawa wasanii mimi huwa sielewi wanafanya music wa aina naomba mwenye kujua anisaidie

Linex
Mwana fa
Baba levo
Hamonizer
Dudu baya
Nay wa mitego
Quik laka
Quick Laka ndo msanii gani mkuu?? Au ni upcoming nn???
 
Dudu baya ndio simwelewi kabisa kati ya hao wote! sauti kama hip hop,maneno kama rap katuni,ala za muziki kama Takeu yaani full kuchanganyikiwa!
 
Kikubwa wanapata pesa.

Mambo ya aina Muziki wanaofanya ndio iliwafanya wengine wafe maskini na kukimbilia kubwia unga kumaliza stress.
Naongelea aina ya muzik siyo pesa wanayo ingiza
 
Habari wakuu wa jukwaa kuna hawa wasanii mimi huwa sielewi wanafanya music wa aina naomba mwenye kujua anisaidie

Linex
Mwana fa
Baba levo
Hamonizer
Dudu baya
Nay wa mitego
Quik laka

Una hakika akili yako iko sawa sawa?
 
Back
Top Bottom