Sielewi dhamira ya huyu dada kwangu

Sielewi dhamira ya huyu dada kwangu

pole sana mkuu,naona imeingia sana na imekuumiza kweli kweli, ila tambua kwamba lengo langu lilikuwa zuri tu, ajifunze namna ya uandishi, sifikiri km ni sahihi kumuona mtu anakosea then umuache aendelee kukosea.,

NB; pole kwa kuguswa na kuumizwa na ushauri usio kuhusu.
Kwanza anza kurekebisha uandishi wako, ndiyo ufuate wa mwingine. Ondoa kibanzi jichoni mwako kabla ya kutoa boriti kwenye jicho la mwenzio
 
Akili kumkichwa Mkuu.

Na umakini tu ndio unahitaji hapo sababu waeza shangaa vyote unavyofanyiwa mwisho wa siku ukavilipa mara mbili yake.
 
Pamoja na watu kukuponda ulivyoandika ila nmekuelewa japo hueleweki sana kwa jinsi ulivyomfafanua hyu demu,ila ngoja nikupe ushauri kidgo halaf utapata jib ni aina gan ya huyu dada alivyo na nia yake kwako,,nenda katafute demu mkali mara kumi ya yeye,ambae anavutia kuanzia juu mpk chini,hakikisha anavutia kweli kweli zaid yake,halaf nenda nae nyumban na uhakikishe hyo dada yupo,kaeni ndan kama unapika piken kula halaf usimfanye cchte wakat unatoka kumsindikiza hakikisha hyo dada na house gal wake wapo nje ita uber mpe huyu dem uliekuja nae mle laki mbili au tatu mbele yao halaf muagane vzr baada ya hapo utajua nia haswa ya huyo mwanamke ni nn.[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Mmmmh za kuambiwa changanya na zako,ampe laki mbili!!!Ataishia ku komunika mkate na maji mwezi mzima.
 
Unajishtukia tu Dogo. Haya mambo ni ya kawaida tu yapotezee endelea na shughuli zako
 
Hakuna kitu kina kela kama mtoto wa kike akuseme
Mimi hapa naimbiwa nyimbo za mafumbo mpaka kero
 
Nyinyi ndiyo mabongo lala wenyewe, ukishajua kidato chake itakusaidia nini?

Humu hatupo kukaguana kanuni za uandishi, ukielewa toa ushauri usipoelewa kaa kimya tu. Kama ingekuwa kinaangaliwa hiko, mods wangekuwa wanaapprove uzi kwanza kabla ya kusoma kwa kila jukwaa.

Ukiona hakuna hiko tambua kila mmoja ana namna ya kuandika ilimradi havunji kanuni za mtandao, hebu acha dharau zako hizo.
Pamoja mkuu,kuna watu kukoment ujinga ni sifa zao buana
 
pole sana mkuu,naona imeingia sana na imekuumiza kweli kweli, ila tambua kwamba lengo langu lilikuwa zuri tu, ajifunze namna ya uandishi, sifikiri km ni sahihi kumuona mtu anakosea then umuache aendelee kukosea.,

NB; pole kwa kuguswa na kuumizwa na ushauri usio kuhusu.
Acha ushoga mtu angu,naona wewe tuu ndio umezungumzia mwandiko shida nini aya ama? Ka vp pita kushoto
 
Akili kumkichwa Mkuu.

Na umakini tu ndio unahitaji hapo sababu waeza shangaa vyote unavyofanyiwa mwisho wa siku ukavilipa mara mbili yake.
Ndio hapo madam,wadau wananishauri ati nimuingize manzi pale hom na ye akiona,sasa unadhan kama ananielewa kweli si ndo atanikomoa[emoji33][emoji33][emoji33][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom