Sielewi dhamira ya huyu dada kwangu

Sielewi dhamira ya huyu dada kwangu

Summary.

Amehamia nyumba nzuri mtaani kwao.

Amelipiwa bili na kugewa chakula na mdada hapo home.

Lakini anahisi huyo dada anamchukia hivyo hamuelewi.

Ushauri wangu kwa mleta uzi:
Kuna gesti na dildo, jiongeze.
Duh we jamaa umenishinda kabisa isee
 
Fanya haraka tii kajichukulie kitumbua chako, kakasirika kwa kuwa umechelewa kuomba mzigo wako asee
 
Pamoja na watu kukuponda ulivyoandika ila nmekuelewa japo hueleweki sana kwa jinsi ulivyomfafanua hyu demu,ila ngoja nikupe ushauri kidgo halaf utapata jib ni aina gan ya huyu dada alivyo na nia yake kwako,,nenda katafute demu mkali mara kumi ya yeye,ambae anavutia kuanzia juu mpk chini,hakikisha anavutia kweli kweli zaid yake,halaf nenda nae nyumban na uhakikishe hyo dada yupo,kaeni ndan kama unapika piken kula halaf usimfanye cchte wakat unatoka kumsindikiza hakikisha hyo dada na house gal wake wapo nje ita uber mpe huyu dem uliekuja nae mle laki mbili au tatu mbele yao halaf muagane vzr baada ya hapo utajua nia haswa ya huyo mwanamke ni nn.[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Duh ngoja nijaribu mkuu
 
Mtu wa aina hiyo anakupaje chakula unakula unaakili kweli? Ulipokuta kanunua umeme kwanini hukumrudishia pesa yake? Wewe ndio hueleweki kbs kuliko huyo dada.
Nilimrejeshea ile hela nliporudi mkuu
 
Sasa nimfungulie ili iweje mkuu mimi hata sina shida naye yaan
Ok, basi wewe jitahidi tu kuishi nae vyema bila kugusa waya wa bomu alilovaa mwilini mwake ipo siku atajikuta anawaza mwenyewe tu kwa nini anakuchukia.
Hiyo hutokea kwa wanadamu wote sio kwako tu!
Hata wewe utakuwa shahidi kuwa kwenye safari yako ya maisha ulishakutana na mtu ukamchukia bila sababu japo unakuta ndio mara yenu ya kwanza kuonana
 
Seriously tunahitaji kuanzisha darasa la kufundisha UANAUME. wadogo zetu wake stuck kwenye uvulana. Mwanaume rijali usichoelewa hapo ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imebidi niangalie lini umejiunga by the way kama kawaida nafasi ya kwanza umechukua
 
Ok, basi wewe jitahidi tu kuishi nae vyema bila kugusa waya wa bomu alilovaa mwilini mwake ipo siku atajikuta anawaza mwenyewe tu kwa nini anakuchukia.
Hiyo hutokea kwa wanadamu wote sio kwako tu!
Hata wewe utakuwa shahidi kuwa kwenye safari yako ya maisha ulishakutana na mtu ukamchukia bila sababu japo unakuta ndio mara yenu ya kwanza kuonana
Mkuu ntajaribu kugusa huu waya wa bomu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom