Sielewi dhamira ya huyu dada kwangu

Sielewi dhamira ya huyu dada kwangu

We punga,uzi bila picha n bureee....2changie nin asa.....by the way sijamalza kusoma nmeishia 2 kuelewa kwmba umepanga nyumba yenye mandhari poa,lakn sijaona picha ya kuthbtsha hilo nmeamua kughair kuendelea na uzi wako....ukipandsha picha nitag nirud.
 
Hajawahi piga story hata siku moja, ila ushajua kakuzidi miaka miwili, na kazi anayofanya.
 
Hahahah yaani huyo anakupenda mkuu ,Na hizo chuki ni kwa sababu huoneshi nia ya kumtongoza,hvyo usizubae kula mzigo kwa kondom kisha mpotezee maana usije ukampa mimba na ukaishia gerezani
 
We punga,uzi bila picha n bureee....2changie nin asa.....by the way sijamalza kusoma nmeishia 2 kuelewa kwmba umepanga nyumba yenye mandhari poa,lakn sijaona picha ya kuthbtsha hilo nmeamua kughair kuendelea na uzi wako....ukipandsha picha nitag nirud.
Asa we bwana mdogo picha ya nini kwa mfano,na picha gan!
 
Yani we jamaa bwana...huelewi nini hapo sasa Chomeka funguo washa gari sepaaaa.
Tatizo mtoto wa maza house na maza huyu ni moto sana afu ananiamini kama nna haiba nzuri,siku akizinyaka si ntafia ukonga
 
Hahahah yaani huyo anakupenda mkuu ,Na hizo chuki ni kwa sababu huoneshi nia ya kumtongoza,hvyo usizubae kula mzigo kwa kondom kisha mpotezee maana usije ukampa mimba na ukaishia gerezani
Duh mkuu buana,nimpige kwa kondom,ntafia gerezan tenah ko nifuate kip sasa
 
Kama wewe ni mwanaume harafu ushindwe kumsoma mwanamke hustahili kuitwa mwanamme maana yake huna akili ya uchunguzi
 
Back
Top Bottom