Sielewi dhamira ya huyu dada kwangu

Sielewi dhamira ya huyu dada kwangu

Naona umezoea vya kunyonga. Iruhusu akili yako kufanya kazi yake kwa usahihi na hutpata tabu kwa mambo madogo kama hayo.
 
uyo manz anakuhisi ww ni joka la kibisa fanya mpango mgonge tukitaeleweka hata kama humpend utaheshimika hapo nyumbani.
 
Wewe una roho ngumu,hadi msosi ulipiga wakati unajua mtu anakuchukia,una roho ngumu kiwango cha STANDARD GAUGE
 
Huyu jamaa vip?!!?!anataka umgegede.Hujajua visa vya hawa watu wewe!!!!
Gegeda ndo furaha yake
 
Back
Top Bottom