Sielewi dhamira ya huyu dada kwangu

Sielewi dhamira ya huyu dada kwangu

Inaonekana aura zenu haziendani.


Ila kwa kichekesho tu, subiri housegirl wao akiondoka mvizie uingie jikoni kwao kamata kopo la chumvi kaza kabisa alafu rudi chumbani kwako kulala
Nakuhakikishia lazima atakuja mwenyewe kukuonba ukamfungulie
Sasa nimfungulie ili iweje mkuu mimi hata sina shida naye yaan
 
Summary.

Amehamia nyumba nzuri mtaani kwao.

Amelipiwa bili na kugewa chakula na mdada hapo home.

Lakini anahisi huyo mpangaji anamchukia hivyo hamuelewi.

Ushauri wangu kwa mleta uzi:
Kuna gesti na dildo, jiongeze.
Sio mpangaji mwenzie ni mtoto wa Mama mwenyenyumba
 
fanya mpango wa kusepa chap kwa upesi, ana mimba huyo anataka kukushkisha
Duh! Wanasaikolojia ya mapenzi mshawaza nje ya box tiyari[emoji23][emoji23] ok all in all ahsante kwa kushiriki mkuu.
 
jaribu kufuata kanuni na taratibu za uandishi, umeandika hovyo hovyo mno, haivutii kusoma, fanya editing then rudi tukupe ushauri.

NB; kwani upo kidato cha ngapi?
Form two B shule ya sekondari mabwepange mjomba
 
Pamoja na watu kukuponda ulivyoandika ila nmekuelewa japo hueleweki sana kwa jinsi ulivyomfafanua hyu demu,ila ngoja nikupe ushauri kidgo halaf utapata jib ni aina gan ya huyu dada alivyo na nia yake kwako,,nenda katafute demu mkali mara kumi ya yeye,ambae anavutia kuanzia juu mpk chini,hakikisha anavutia kweli kweli zaid yake,halaf nenda nae nyumban na uhakikishe hyo dada yupo,kaeni ndan kama unapika piken kula halaf usimfanye cchte wakat unatoka kumsindikiza hakikisha hyo dada na house gal wake wapo nje ita uber mpe huyu dem uliekuja nae mle laki mbili au tatu mbele yao halaf muagane vzr baada ya hapo utajua nia haswa ya huyo mwanamke ni nn.[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Yaani atumie gharama zote hizo mkuu.
 
Hahahaa. Subiri nitafute miwani mdogo wangu. Naja naja sasa hivi kusoma kisha nikwambie kilichojiri.

zeshchriss mkombozi wenu nipo ngoja nivae miwani kisha nipitie mstari kwa mstari niwaambie nini mleta uzi anataka saidiwa sababu na weye najua umeisha katikati. Hahahaaa.
Noma
 
Back
Top Bottom