nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
hapa sasa pazuri.. posho unalipwa interms of pounds, upo?
Sasa hapa tunaanza kuelewana, ila bado mpaka utaje pounds ngapi.
hapa sasa pazuri.. posho unalipwa interms of pounds, upo?
Sasa hapa tunaanza kuelewana, ila bado mpaka utaje pounds ngapi.
Hapo sawa, hata mgomo sitaleta, na kugoma kukaa kisa haki sawa, mie akaaaaaaaaaaaaa.... ila bunge lako hilo tutakua tunaongelea nini? Katiba ya jf?authority ni yako..! sema wewe watakaje, mi kwa siku naanzia 500 pounds.. usafiri, meals and allowances nyingine nje! upo?
Yes... Yes King, lini utatangaza wabunge wote niwafahamu wenzangu?
pole pole basi, utaamsha watu bana... ngoja ntakupa mfumo wa uendeshaji bunge.. mke wangu atakuwa firstlady then mambo mengine yatafuatia..
Hautatukuta. Tutakuwa tushaondoka.Ntarudi baadae.
Hautatukuta. Tutakuwa tushaondoka.
namgoja Shixi889 kwa hamu sana aniambie ana miaka mingapi ss mpaka ahamasike kuolewa fasta hivyo!!!
halafu aniambie anamtaka nani hasa!! hapo sasa itabidi apende kwa lazima!
priti nikuulize swali binafsi, ww umeolewa ama la?!! jibu plz!
Dr.Mo well said ni kama vile u know me...!!! kidogo nishtuke ...!!!!! but sina pozi kabsa thou ni kweli nafahamiana na watu wachache sjui ni makuzi au ndo jinsi nlivyo tu and thanks again kwa ushauri wako ntajitahidi sana kuufanyia kazi.pole sana sana...kwa ujumla..usiwe na haraka ya kuolewa kisa umechelewa....alafu increase ur realationship cycle na uache mapozi.....nakuona kama una cycle...unafahamiana na watu wachache sana kwenye maisha yako na pia mapozi....ndo maana umekuwa na options kidogo sana....na in other words namaanisha pia hao watu wa zamani achana nao...fikiria watu wapya
Nko katika age ambayo wadada wengi wanatamani sana kuolewa na siwezi kataa hata mimi pia natamani sana atokee wa kunioa.
I have bin single for a while baada ya mwanaume nlieachana nae kuwa too overprotected na wivu wa ajabu sana we planned to marry but nilimpa muda wa miezi sita kwanza tuchunguzane nsije nikavaa mkenge nashukuru sana Mungu kwa maamuzi yangu hayo.
Recently nimekutana na huyu mtu ambaye ananifahamu toka utotoni tumekuwa pamoja na toka siku hizo alikua akiniambia mie ndo ntakuwa mkewe thou sikumweka akilini kabsa.
Tulikua close kama marafiki wa kawaida kwa muda mrefu sana mpaka tulipofika chuo kila mtu akaendelea na maisha yake.
Siwezi kumsema kwa upande wake sababu sijui kwa hakika alichokua akifanya kwa upande wangu nshakuwa katika mahusiano na ni kama I have never been luky pande hizo.
Now he is serious kwamba anataka kunioa na anataka kwenda kujitambulisha home.
Na anainsist kuwa hata kama siko tayari kwa sasa atanisubiri "wee endelea tu maisha yako ukichoka mie nko nakusubiri" ndo alichonambia.
Sielewi cha kufanya sababu
1.Sijawai kumpenda kabsa as mpenzi nampenda kama rafiki yangu wa karibu.
2.Nimechoka kuanzisha mahusiano ambayo hayatadumu.Na i guess am desparate wadogo zangu
wameoa na kuolewa mie nipo nipo tu.
3.Once I was chuo my dad alishwai nambia hatapenda kusikia nimeolewa na kabila fulani ambalo ni
la huyo mwanaume.
Na sidhani kama ni choise ya my mom pia cz enzi hizo alikua akija home
my mom hajawai kumchangamkia na nlikua nashangaa kwa nini.
4.Na wasiwasi na mahusiano yake what if ana mtu ambaye alikua nae serious na labda huyo mdada kawekeza mengi sii ntafanyiwa kitu kibaya jamani i believe in what goes around comes around.
:disapointed:
Kwa ninavyoamini wazazi ni Mungu wa pili ndo maana kwa sisi tuna amri isemayo waheshimu baba yako na mama yako upate miaka mingi na heri duniani kama sjakosea the last part .....!!!!!soo nawasikiliza cz wanaplay a very big part in my life kwa hapa duniani.
Ushauri wangu kwako..naona bado wakati wako haujafika ndoa dada yangu sio maigizo bana unapomuona mtu ametangaza kuoa ujue wakati umefika hana namna lazma aoe inavyoonekana wewe na hao majamaa zako wote wkt wa kuingia ktk ndoa bado ndio umri unaruhusu ila muda bado,muda ukifika atatokea wa kukuoa na sizan kama utahitaji muda wa kumchunguza,sizan km hatakuja kuwa na type ambazo wazaz wako wanavyotaka atatokea mtu frm no where ukampenda akakupenda ukafunga nae ndoa muweke mungu mbele
Hapa umenena huyu bado muda wake haujafika muda ukifika utasahau hadi hayo maneno ya wazaz usicheze na kupenda wewe aisee afu mi naona ukimchunguza bata sana huwezi kumla
Amani ya BWANA ipitayo fahamu zote na uelew woote. Ikaamue Ndani mwako.
Na utakachojisikia ndani mwako ndio uamuzi wako. Hatuoi wala kuolewa tu kwa sababu kuna mtu yupo tayari kwa ajili yako au pengine yupo tayari hata kufa kwa ajili yako, Ndoa unatokea pale wawili wanaporidhia mioyoni mwao kuwa yafaa kuishi pamoja kwa kuwa wamependana na wamekubali kuchukuliana madhaifu yao (unaona utaweza kuishi kwa madahifu yake naye pia anaweza kukuvumilia na kuendelea kuboreshana siku hadi siku)
Wazazi pia kwa sehemu yao. wana nafasi kubwa sana kwenye hili swala. ukiona umewaelewesha sawia na bado wakakataa usilazimishe maana wanajua mengi zaidi yetu japo sio lazima yawe sahihi mara zote. Na ukiwapuuza uwe tayari kupambana na yatokanayo.
Endelea kumsihi Mungu wako, atakufanyia nyia. He is a mysterious God and HE works so mysteriously.