Sielewi cha kufanya...!

Sielewi cha kufanya...!

Na anainsist kuwa hata kama siko tayari kwa sasa atanisubiri "wee endelea tu maisha yako ukichoka mie nko nakusubiri" ndo alichonambia.

:disapointed:

kaa kwanza mfanyiane uchunguzi.... kumbuka umri nao unaenda... mchagua nazi anaweza inukia koroma
 
Thanks brother....!!!umenifanya nicheke sana kwenye bold hapo anyway unachosema ni kweli kabsa i wish i could know what my future hold..!!!!All in All i believe in God that everything will turn out perfect for me.
The person to whom this message was sent to, is out of reach. Please send to altenative path "Mjomba moyo" for immediately response. CC; wanajamii
 
mie ushauri wangu naona wwe umwite maza wako mwambie mama mie nitrafutieni mume maana naona hii idara mie kwisha bugi. am sure mummy will find u a very gud husband. ila itabidi u-apply ile phylosophy ya wahindi...U MARRY FIRST THEN LOVE GROWS" KAMA MIE HAPA AH NIMEPOA ZANGU PEMBENI NAJIGEGEDEA ILA SIKU NATAKA KUOA WALA SITAKI PRESHA WACHA MNIITE MSHANBA BUT I WILL GO TO MY MUM AND ASK HER TO CHOOSE A WIFE FOR ME NATULIZANA ZANGU. WHY? BECAUSE MUM ALWAYS WANTS WATS BEST FOR THEIR CHILD
 
If u want to be in a happy marrige, usiolewe na mtu asiyekubalika na wazazi wako;
I have seen people wanajidai wanaweka mapenzi mbele wakipata shida wanashindwa kurudi kwa wazazi

In short, we tulia
ukikosa mtu nicheck PM kuna bosi wangu domo zege sana nitakuunganisha
 
Hii promo nini?
 
Duuh!!!umeanza vizuri kweli ila hapo kwa bosi no way mambo ya kupigiana promo tena ndugu...????
 
Wakaka wa jf watakuhurumia sana, baadhi watazidisha huruma hadi kwenye PM. Wengine watahitaji kukupa faraja kwa kuonana...
Watch out bidada!!!
 
mie ushauri wangu naona wwe umwite maza wako mwambie mama mie nitrafutieni mume maana naona hii idara mie kwisha bugi. am sure mummy will find u a very gud husband. ila itabidi u-apply ile phylosophy ya wahindi...U MARRY FIRST THEN LOVE GROWS" KAMA MIE HAPA AH NIMEPOA ZANGU PEMBENI NAJIGEGEDEA ILA SIKU NATAKA KUOA WALA SITAKI PRESHA WACHA MNIITE MSHANBA BUT I WILL GO TO MY MUM AND ASK HER TO CHOOSE A WIFE FOR ME NATULIZANA ZANGU. WHY? BECAUSE MUM ALWAYS WANTS WATS BEST FOR THEIR CHILD

Hellow mzabzab hujaacha tu kugegeda mabinti wa watu???learn about karma my friend isije ikakurudia..!!!
 
Last edited by a moderator:
Wakaka wa jf watakuhurumia sana, baadhi watazidisha huruma hadi kwenye PM. Wengine watahitaji kukupa faraja kwa kuonana...
Watch out bidada!!!
Thank you Eli79 nawashukuru sana mamoderator kwa kuruhusu fake names waliona mbali sana....!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kigezo cha kwanza kiwe kutoka moyoni mwako how do u feel abt him, kama hayupo kabisaaa na the thout of having him as a husban ni kama kichekesho achana nae na umwambie mapema, lakini kama deep in ur heart unaona unaweza kuwa nae basi kigezo cha pili ndo kiwe wazazi wako, sijajua ukaribu na wazazi wako ukoje ila kama umemelewa malezi ambayo uko free kuongea nao basi 1st make sure huyo mtu yuko kweli siriaz na wewe then muite baba yako na mama yako uwaeleze nia ya huyo kijana na umwambia kabisa baba yako kwamba ni yule ambae kabila lake ulishasema nisije olewa nae usikie watasemaje
 
Hivi mnajua ndoa zenye the least percentage of divorce duniani ni za waarabu na wahindi ambao wame maintain tradition za arranged marriage!?
Sijui sababu itakua nini?
Na sisi tumeambukizwa western ideology kuwa ndoa inabidi kwanza ujiskie unampenda huyo mtu na uwe una "uhakika" wakati personally naona ni kitu kugumu sana maana feelings of love CHANGE!! Hence kati ya kitu kisichotakiwa kuwa priority kwa mtu unayemwoa au kuolewa ni LOVE!! Au eti unajiskieje moyoni!! Kama leo najiskia 100% kumwoa mtu lakini mwakani nikawa sijiskii tena basi ni grounds za kutosha kuachana nae??
LOVE (as is understood by many) IS NOT THE ANSWER TO A SUCCESFULL MARRIAGE!!
Nyie mnaoneje hii view ukiangalia ukweli wa ndoa katika culture mbalimbali hapa duniani? Ni zipi zinadumu kwa asilimia kubwa, arranged au zinazodai kufwata misingi ya "love"?
 
mie ushauri wangu naona wwe umwite maza wako mwambie mama mie nitrafutieni mume maana naona hii idara mie kwisha bugi. am sure mummy will find u a very gud husband. ila itabidi u-apply ile phylosophy ya wahindi...U MARRY FIRST THEN LOVE GROWS" KAMA MIE HAPA AH NIMEPOA ZANGU PEMBENI NAJIGEGEDEA ILA SIKU NATAKA KUOA WALA SITAKI PRESHA WACHA MNIITE MSHANBA BUT I WILL GO TO MY MUM AND ASK HER TO CHOOSE A WIFE FOR ME NATULIZANA ZANGU. WHY? BECAUSE MUM ALWAYS WANTS WATS BEST FOR THEIR CHILD

Very true mzabzab. Tatizo mimi mpaka sasa hawaoni. Kuna mmoja maza ali suggest ila alikua ni kicheche huyo tumepita watu ka 8 hivi! Mama akanyoosha mikono akasema kizazi cha sasa kashindwa! Hehehe. Namwonea huruma ila sasa itakueje? Nilileta 1 akawa bomu wao nao wakileta ni bomu!
Ila kuna huyu wa mwisho aisee ni jaribio la mwisho na nafanya hivi kwa ajili yao tu, mimi niko na raha sana kuishi tu na mwenzangu bila vigelgele sijui na matarumbeta barabarani, lakini wale wazee nahisi nitakua nimewaumiza! So....wacha niwafurshishe maana nimeshindwa kuwaelewesha.
 
Hivi mnajua ndoa zenye the least percentage of divorce duniani ni za waarabu na wahindi ambao wame maintain tradition za arranged marriage!?
Sijui sababu itakua nini?
Na sisi tumeambukizwa western ideology kuwa ndoa inabidi kwanza ujiskie unampenda huyo mtu na uwe una "uhakika" wakati personally naona ni kitu kugumu sana maana feelings of love CHANGE!! Hence kati ya kitu kisichotakiwa kuwa priority kwa mtu unayemwoa au kuolewa ni LOVE!! Au eti unajiskieje moyoni!! Kama leo najiskia 100% kumwoa mtu lakini mwakani nikawa sijiskii tena basi ni grounds za kutosha kuachana nae??
LOVE (as is understood by many) IS NOT THE ANSWER TO A SUCCESFULL MARRIAGE!!
Nyie mnaoneje hii view ukiangalia ukweli wa ndoa katika culture mbalimbali hapa duniani? Ni zipi zinadumu kwa asilimia kubwa, arranged au zinazodai kufwata misingi ya "love"?

Nafiriki hii mada uibandike kesho tuijadili
 
Huwa napata wakati mgumu sana kumshauri mtu kuchagua mtu wa kumpenda...

Naamini chemchem ya furaha ya upendo ipo ndani ya vilindi vya moyo wa mtu mwenyewe...

If your inner voice doesn't give you a green light, usijaribu kulazimisha
 
Pole Dada yangu,
Nakupa ushauri ufuatao ; Mtangulize MUNGU kwenye jambo hili,kwa MUNGU hakuna kuchelewa
na ukiwa mwaminifu na mwili wako nina hakika atakupa mtu atakayekupenda na utampenda kwa dhati toka siku ya kwanza,na moyoni mwako utakuwa na amani ,furaha na kujiamini hakutokuwa na hofu,mashaka na kutojiamini ,kuhusu mama kuwa mkimya hilo lisikupe shida yawezekana muda wa MUNGU haujafika na pia mara nyingine baadhi ya wazazi hawapendezwi na mahusiano ya kabla ya ndoa. Piga magoti muombe MUNGU huku ukiendelea kuwa mwaminifu na mwili wako na atakujibu kwa wakati umpendezao.

Isaya 34:16
 
waonaje ukwashirikisha wazazi, tena wakakutafutia wanaume watatu kisha ukachagua mmoja, maana atakuwa ni chaguo la wazazi nawe utajifunza kumpenda baada ya wazazi wako kumpenda....
 
Nko katika age ambayo wadada wengi wanatamani sana kuolewa na siwezi kataa hata mimi pia natamani sana atokee wa kunioa.

I have bin single for a while baada ya mwanaume nlieachana nae kuwa too overprotected na wivu wa ajabu sana we planned to marry but nilimpa muda wa miezi sita kwanza tuchunguzane nsije nikavaa mkenge nashukuru sana Mungu kwa maamuzi yangu hayo.

Recently nimekutana na huyu mtu ambaye ananifahamu toka utotoni tumekuwa pamoja na toka siku hizo alikua akiniambia mie ndo ntakuwa mkewe thou sikumweka akilini kabsa.

Tulikua close kama marafiki wa kawaida kwa muda mrefu sana mpaka tulipofika chuo kila mtu akaendelea na maisha yake.

Siwezi kumsema kwa upande wake sababu sijui kwa hakika alichokua akifanya kwa upande wangu nshakuwa katika mahusiano na ni kama I have never been luky pande hizo.

Now he is serious kwamba anataka kunioa na anataka kwenda kujitambulisha home.

Na anainsist kuwa hata kama siko tayari kwa sasa atanisubiri "wee endelea tu maisha yako ukichoka mie nko nakusubiri" ndo alichonambia.

Sielewi cha kufanya sababu

1.Sijawai kumpenda kabsa as mpenzi nampenda kama rafiki yangu wa karibu.

2.Nimechoka kuanzisha mahusiano ambayo hayatadumu.Na i guess am desparate wadogo zangu
wameoa na kuolewa mie nipo nipo tu.

3.Once I was chuo my dad alishwai nambia hatapenda kusikia nimeolewa na kabila fulani ambalo ni
la huyo mwanaume.

Na sidhani kama ni choise ya my mom pia cz enzi hizo alikua akija home
my mom hajawai kumchangamkia na nlikua nashangaa kwa nini.

4.Na wasiwasi na mahusiano yake what if ana mtu ambaye alikua nae serious na labda huyo mdada kawekeza mengi sii ntafanyiwa kitu kibaya jamani i believe in what goes around comes around.

:disapointed:[/QUOTE pole sana mamii,hata mm napitia wkt kama wako ya kupendwa unapohis hupendi ila mm nmeamua kuwa naye cos ananipa kla nnachotaman kupata,anajal na kunipenda kwa dhati...USHAURI:mm naona kuwa nae cos wazazi hawataish na mumeo bali ww,na mwanaume hadi anakuambia anatka kukuoa ni wazi kakukusudia ww na kama huna uhakika fanya uchunguz ubaini je ana mwingne ili kujipunguzia maswali..OLEWA MAMA UNAYEMPENDA WW ANAWEZA KUKUSUMBUA,BT ANAYEKUPENDA ATAKUTHAMINI MAISHA YOTE.
 
Dada usikilize moyo wako tu, kama imeshindikana tangaza nia hapa jf uone vijana wetu walivyo na uchu yani tajichagulia wew tu
 
Back
Top Bottom