If u want to be in a happy marrige, usiolewe na mtu asiyekubalika na wazazi wako;
I have seen people wanajidai wanaweka mapenzi mbele wakipata shida wanashindwa kurudi kwa wazazi
In short, we tulia
ukikosa mtu nicheck PM kuna bosi wangu domo zege sana nitakuunganisha
Hellow mzabzab hujaacha tu kugegeda mabinti wa watu???learn about karma my friend isije ikakurudia..!!!
Eeh??? Umuunganishie?
Sio vibaya kabisa Excel ila nimeshtuka kuunganishwa, hapo hajamsaidia ila anamuongezea mawazo mhusika!
priti, mbona kuna watu kibao tu wanapata wachumba ama wapenzi kupitia sosho networks...
mi naona Shixi889 (hii id inanishinda kuitamka aisee!!) achangamkie dili tu ili mradi tu akidhi vigezo anavyohitaji...
asipompenda, basi awahi kwingine...!
Social networks zinawapatiamo watu wenza sina ubishi na hilo, ila sasa huyo tayari ana watu ambao hajawapatia ufumbuzi ghafla aunganishwe na mwingine, huoni atazidi kuchanganyikiwa? Excel?
Ntarudi baadae.
priti... mapenzi kweli kizungu zungu....!! hivi waoaji wamehamia wapi aisee? ngoja Shixi889 aje na mimi nimuunganishe!! lol!
seriously speaking..... mi namshauri tu atulie kwanza na huyo jama wake wa toka utotoni! nadhani jamaa atakuwa na ukweli juu ya anachokisema!
Nimeghairi kurudi baadae, ngoja niteme yangu ya moyoni kama ifuatavyo:nakungoja usie na jina..
Nimeghairi kurudi baadae, ngoja niteme yangu ya moyoni kama ifuatavyo:
Mkuu, maisha yako yapo mikononi mwako, wewe ni naodha wa maisha yako, ukiamua kupeleka chombo mrama (sijui ndo ivi, Excel utanisaidia) its up to you.
l believe wewe ni mtu mzima, unajua lipi baya na lipi zuri, wazazi wako kwa sasa ni watu wa kukupa ushauri na si kukuchagulia la kufanya....
LISTEN TO YOUR HEART. Kama unadhani kuna troubles DON'T na kama unadhani yo safe, ALL THE BEST.
Shida ni kwamba huyo wa utotoni hajamkaa moyoni, baba na mama hawamkubali ila anahamu ya kuolewa,, ahh kizungu zungu hiki aisee...., ninaempenda hanipendi, nisiempenda ameniganda kama luba!
aisee umeongea vizuri sana usie na jina!! kwanini sasa ulikuwa unaogopa bana?
ngoja nikutengee kiti chako maalum kabisa kwenye bunge langu binafsi! karibu sana!
Nilihisi uvivu tu.... unajua nilikua sina kazi, sasa kwakua nimepata ubunge, kila kitu kitakua vema ila niambie posho sh ngap kabisa.....