SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Wakati ni huu
Napendekeza Sikh ya uzinduzi wapande wabunge wote CCM!Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Uongo mtupuKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Tumekukosea nini ccMajaribio wapandishwe cabinet yote ya cc ya ccm hata kwa viboko
Hii ndo iwe post ya kwanza hapo juu😅😅Watapanda wao.
Million 61 Tanzanian Gawanye kwa 500 kila ajali.
Una D mbili? Umeelewa?
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Kwanini si watano kwanzaKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Chit Chat.... Mods Karibuni..Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Ni nani alithubutu kutamka na kutoa hilo wazo?Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.