b191
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 742
- 1,031
Umeshuri vema.Shirika la Viwanda Vidogo vidogo (SIDO) lifumuliwe ili liweze kuundwa upyaikiwezekana lipate Boss msomi wa ngazi ya juuu kabisa, maana ni kama halipo halisiskiki kwa vitu vya maana zaidi ya kuoga mikate ya kumimina. Na wafanyakazi wanalipwa mishahara. Hakuna ubunifu kabisa.
Ila tatizo la hii nchi kwa kwa sasa ni kipaumbele.
Tumetoka kwenye lengo kuu la kipaumbele cha NCHI YA VIWANDA na sasa tuna kipaumbele cha KUNYIMA UHURU WA KUTOA MAONI NA UTUMBUAJI USIO NA TIJA.