ila twende mbele turudi nyuma ukiachana na wale waandishi wa classic novels kama Charles dickens, sir athur conan doyle n.k n.k zama hizi za hawa modern writers kuna fundi wa mafundi wa kuitwa paulo Coelho mzee wa alchemist huyu jamaa ni shida novels zake nyingi zina madini konki sana halafu zimetafsiriwa kutoka lugha ya kireno lakini bado ni za moto