The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,478
Mungu mpatie ulinzi Afande ili atimize lili ulilomwitia katika maisha haya.Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii hayuko nchini.
Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.
Andrew Nyerere Tu Ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Wanyakyusa pia tupo
Jamaa anaongoza kikosi kizimaCaptain wa jeshi sio Mdude ukamteke Kinyonge
Yule ana kundi kubwa wanajeshi wanaomtii, hakuna mbwa yoyote ya kupeleka pia kwake
Akili yako bado iko mbali sanaHalafu ukute sio afande hata
Yuko mpakani.. Mguu inje mguu ndaniNa uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii hayuko nchini.
Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.
Andrew Nyerere Tu Ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Umesikiliza ile clip? Umesikia background noices wakati anaongea? Mimi nimesikia ambulance mlio wa king'ora, inaonyesha yuko Dar. Pia nimesikia sauti ya muziki kwa sauti kubwa. BTW huyu huenda hakukurupuka. Anajiamini kabisa na kuna kitu kikubwa ambacho hatujii. Halafu walivyo wajinga wamemtumia yule mpambe wa Magufuli kutoa statement ya jeshi ili kuteka mioyo ya waliompenda Magufuli.Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii hayuko nchini.
Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.
Andrew Nyerere Tu Ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Mbaya kabisa msemaji nae moyo unavuja damu akikumbuka vile magufuli alitendewaUmesikiliza ile clip? Umesikia background noices wakati anaongea? Mimi nimesikia ambulance mlio wa king'ora, inaonyesha yuko Dar. Pia nimesikia sauti ya muziki kwa sauti kubwa. BTW huyu huenda hakukurupuka. Anajiamini kabisa na kuna kitu kikubwa ambacho hatujii. Halafu walivyo wajinga wamemtumia yule mpambe wa Magufuli kutoa statement ya jeshi ili kuteka mioyo ya waliompenda Magufuli.
Kwa lipi?Wanyakyusa pia tupo
Mwanzo nilidhani ni Video za AI.Tesha KATISHA