JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,202
- 5,014
Sijaelewa wakuu, inamaana yale maswali tuliyouliza kwenye uzi wa AshaDii wa wiki iliyopita ndio Zitto atayajibia hapa au tuulize maswali upya?
Naona ndio unaibuka!! Mambo yashakwiva tayari.Mhh, mtanange ushaanza?
Mh Zitto ni kwa nini mikataba ya madini kwa Tanzania ni siri wakati wenzetu Botswana inatangazwa wazi kama tulivyoona kwenye thread hii? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-muwekezaji-vs-wa-tanzania-na-wawekezaji.html

Naona ndio unaibuka!! Mambo yashakwiva tayari.
Na wewe una mpango wa kuingia kwenye siasa? Kila mtu sasa naona anaona njia raisi ya kuimarika kiuchumi ni kuingia kwenye siasa.Yaani hapa kaburu kanibana lakini siondoki ng'o
Niko kidaku zaidi, si unajua inabidi tujipange?
Na wewe una mpango wa kuingia kwenye siasa? Kila mtu sasa naona anaona njia raisi ya kuimarika kiuchumi ni kuingia kwenye siasa.