Side comments: Zitto in JF Exclusive Interview on the 22nd of November, 2012

Status
Not open for further replies.
Kuna jibu moja ametoa linaniumiza kichwa hadi sasa.... Kwamba kundi moja CCM linaweza kuvunjika likaanzisha chama, tena chenye nguvu pengine hata kuliko CDM???!!!!
????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nitarudi baadae

Harafu ngoja nione kama bado ana mpango wa kugombea Uprezidaa
 
Ukilitafakari hilo jibu lina zaidi ya hayo alosema

Lipotezee

Kuna jibu moja ametoa linaniumiza kichwa hadi sasa.... Kwamba kundi moja CCM linaweza kuvunjika likaanzisha chama, tena chenye nguvu pengine hata kuliko CDM???!!!!
????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nitarudi baadae
 
- CCM imeshindwa kupambana na adui ufisadi, CHADEMA tunapambana na tutapambana na ufisadi kwa nguvu zetu zote. CCM inaamini katika soko holela, CHADEMA tunaamini katika soko linalojali. CHADEMA inaamini katika nguvu ya Umma, CCM inaamini katika nguvu ya Dola.

Haijaniingia akilini bado

Sijakiona bado

Hata mwendawazimu huwa ana kitu japo kimoja kizuri.
Hata kuwa na mabalozi wa nyumba kumi kumi sio cha kujifunza?

- Jamii imefaidika sana na kuwa kwangu CHADEMA. Kupitia Bunge na nje ya Bunge nimeweza kuisimamia Serikali kwenye mengi na hasa masuala ya rasilimali za Taifa kama madini na kufanikiwa kupata sharia mpya ambayo imetoa fursa kwa Watanzania kufaidika na utajiri wao wa madini. Mengi sana ninayofanya nikiwa CHADEMA nisingethubu kuyafanya ningalikuwa CCM.

Hii sera imesaidiaje watz kunufaika labda?
 
Usipomuuliza ni lini ataacha kutumiwa na CCM kuleta mivurugano ndani ya CDM utakuwa hujatutendea haki.
 
mmh! umeletwa muda mbaya sana sana, sasa hapa tumwibie bosi muda ama tufanyeje??? halafu naona kama maswali ni marefu sana na yana majibu marefu sana kiasi kwamba kudigest kwa haraka unashindwa. pia followup qns zitapewa kipaumbele ama??
 
Je, utaratibu wa kupita mikoani katika kutafuta nafasi ya kugombea uenyekiti kama ilivyokuwa wakati wa Mbowe unafaa au CHADEMA irudi katika utaratibu kama wa CCM?
Hatujawahi kufanya utaratibu unaosema isipokuwa kwenye Urais mwaka 2005. Hatujarejea tena utaratibu huo. Mfumo wowote ambao unapanua demokrasia ya chama ni bora zaidi katika kuimarisha chama. Chama kinakomaa kwa wanachama kushindana kwenye chaguzi za ndani. Natumai uchaguzi mkuu ujao wa chama utakuwa na wagombea wengi zaidi ili wanachama wapate uchaguzi wa kweli. Sipendi chaguzi za kupita bila kupingwa katika chama kinachotaka kujenga demokrasia ya nchi.

Majibu marahisi sana kama ya viongozi walioko madarakani!

Naomba kuongeza swali juu ya hilo jibu, Zitto alitaka kugombea u-mwenyekiti, wazee wakamshauri aondoe jina na Mbowe akapita bila kupingwa. Analizungumziaje hili hasa kwa kauli mbiu hii ya demokrasia, tutegemee nini uchaguzi ujao?
 
mmh! umeletwa muda mbaya sana sana, sasa hapa tumwibie bosi muda ama tufanyeje??? halafu naona kama maswali ni marefu sana na yana majibu marefu sana kiasi kwamba kudigest kwa haraka unashindwa. pia followup qns zitapewa kipaumbele ama??

Mdog wangu gf, mda gani tena ungekuwa mzuri? Tumeanza saa 2 asubuhi, na weekdays ndio nafasi yenyewe. Hakuna jinsi, jitahidi hivyo hivyo kwa kuibia dear mana family matters kuliko kazi bana! Lol
 
"Inawezekana wanaosema mimi ni CCM wengi wao wamewahi kuwa CCM, wana familia zao ndani ya CCM na wamewahi kula matunda ya CCM. Mimi sijawahi na wala sitawahi." By ZZK.................mmmmmmmmm hapa kama dongo vile???:becky:
 
Mdog wangu gf, mda gani tena ungekuwa mzuri? Tumeanza saa 2 asubuhi, na weekdays ndio nafasi yenyewe. Hakuna jinsi, jitahidi hivyo hivyo kwa kuibia dear mana family matters kuliko kazi bana! Lol
naruhusiwa kuuliza swali?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom