Side comments: Zitto in JF Exclusive Interview on the 22nd of November, 2012

Status
Not open for further replies.
Tayari mahojiano yanaendelea,, na Zito amejibu swali la kwanza kuhusu Zito ni nani?
 
Nipo interested kupata majibu ya kuanzia swali la tatu mpaka sita. Swali la 4 zaidi!!
 
hili swali la pili mimi nimelipenda kwa sababu lina hoja jya kimsingi. yaani kuonesha tofauti za kiitikadi kati ya chadema na ccm?au kuweka wazi ikiwa tofauti ni za kiutendaji tu na si kiitikadi.
 
Mh Zitto ni kwa nini mikataba ya madini kwa Tanzania ni siri wakati wenzetu Botswana inatangazwa wazi kama tulivyoona kwenye thread hii? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-muwekezaji-vs-wa-tanzania-na-wawekezaji.html

Haya ndio mambo tutakayoyafanyia mabadiliko makubwa sana. Tunataka mikataba yote iwe wazi. Ndio maana wakati wa sakata la Buzwagi, mimi binafsi niligawa mkataba wa Buzwagi kama njugu kuonyesha kuwa usiri haufai. Hapa JF tuliweka Mkataba wa Buzwagi. Naomba Max autafute na kuuweka tena watu waone. Usiri ni chanzo cha rushwa
 
Majibu ya sera ya majimbo CDM nimeipenda, ikitekelezwa kuna mikoa itanufaika na rasilimali ilizonazo, kusini wanaonewa sana ila naona sera ya majimbo itawaokoa hasa kipindi hiki baada ya kugundulika kuna utajiri mkubwa wa mafuta na gesi
 
Mie ni mwanasiasa wa nyumbani kwangu

Nahutubia watoto na hg na shamba boy :)

Na wewe una mpango wa kuingia kwenye siasa? Kila mtu sasa naona anaona njia raisi ya kuimarika kiuchumi ni kuingia kwenye siasa.
 
Status
Not open for further replies.
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom