Siasa zetu na Ulozi

Siasa zetu na Ulozi

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,622
Reaction score
3,696
FB_IMG_1540821300852.jpg
 
bora huyo kaweka wazi. kuna mwingine yeye kila anapotaka kufanya ziara lazima akutane na wazee wafanye jambo
 
Ulozi uko wapi? Mbona makanisani wanachoma ubani na kulisha watu sakramenti na divai? Au kwasababu hivyo vilikuja na meli za wakoloni?
 
Wanasiasa wetu akivua shati unaweza kimbia maana kila kaeneo ka mwili kana chale,unaweza dhani alishambuliwa na mapanga
 
Kwani Fatuma Karume a.k.a Shangazi anasemaje kuhusu hili jambo?
 
Back
Top Bottom