Siasa za Watanzania Pasua kichwa. Kazi na Bata

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,041
13,689
We unadhani Mh Heche alitaka kumfanya nini Mh Waziri?!?!
FB_IMG_1544010413042.jpeg
 
hapo anamuangalia ili asikie kama atajisifu kwamba miradi ya jimboni kwa heche ameileta yeye waziri.
 
Huyo mwanaume wa Mara sio Dar waliokuwa wanajificha uvunguni kuogopa vile vototo vinavyovuta petrol. Hata jina nimevisahau.
 
Ujinga hana busara ,alaf utoto unamsumbua ,kigwangala kaonekana ana akil kuliko yeye ,umama huo
 
Back
Top Bottom