Heshima mbele wakuu,tunapozungumzia siasa za Mbeya naomba pia tuzungumzie na wailaya nyingine mbili za ILEJE na CHUNYA(ina majimbo mawili ya uchaguzi ya Lupa na Songwe),binafsi nasikitishwa mno na jinsi wilaya ya Chunya ilivyo kuwa nyuma kimaendeleo licha ya kuwa ina vyanzo vingi tu vya mapato katika nyanja za MADINI(dhahabu),KILIMO(pamba,tumbaku,alizeti na hata mpunga) na UVUVI(kupitia ziwa Rukwa)..Pamoja na yote haya wilaya ya Chunya imezidi kudidimia kimaendeleo,barabara ni mbovu(hasa zinzounganisha wilaya na mkoani za Chunya mjini Mbeya via Kawetere na ile ya Mkwajuni-Mbalizi),hivi tatizo ni nini hasa jamani??????
Balantanda,
Bahati mbaya mimi siifahamu vizuri Chunya zaidi ya kusikia kuhusu utajiri wa dhahabu. Kuna baadhi ya vijana walikuwa wanatoka kule kwetu kwenda kuchimba dhahabu Chunya, wakirudi wasichana wote wa maana wilayani walikuwa wanakuwa wao. Hizo ndio priorities zetu, ziko mramamrama.
Nafikiri jambo la muhimu ni kwa mkoa kuwa na strategy nzuri ya kuendeleza wilaya zake kwa kuanzia na barabara na kisha maendeleo kwa mtu mmoja mmoja.
Kikwazo kikubwa kiko kwa viongozi wa mkoa ambao hawana vision yoyote. Tumemuongelea Mwakipesile mara nyingi hapa, unategemea litokee nini? Lakini hata waliotangulia walikuwa hivyo hivyo, ni tatizo la nchi, mizee imeng'ang'ania madaraka wakati haina uwezo wa kufanya mabadiliko.
Mimi nilipokuwa mdogo nilikuwa nawasikia hao akina Anangisye, Mwakitwange, Mwangoka, Mwakatumbula, Kasambala nk. walivyokuwa wanahaha kila wilaya kuhimiza maendeleo. Leo hii tuna globalization na kila kiongozi wetu anaweza kuona jinsi wenzetu wanavyotuacha mbele, lakini uwezo wao wa kuleta mabadiliko ni mdogo sana.
Kilichobaki ni mtu mmoja mmoja kusaidia kumuemisha mdogo wake, mtoto wake au ndugu yake labda huko mbele hawa vijana watakuwa na akili na uwezo kuliko sisi kaka/baba, dada/mama zao. Muhimu pia ni kwa wale wenye nafasi kukumbuka nyumbani tunakotoka na kujaribu kusaidia vijana hata kama ni mmoja au wawili. Hatuwezi kukwepa, wote ni sehemu ya hayo matatizo tunayoyaongelea.
Nimeingia kwenye hii website, it looks state sponsored, also it has nothing much, looks as if it is still under construction, the information about the region is also very filmsy,is limited to physical borders. I tried to register and was promissed an e-mail which never arrived.
Thanks for the info though.
Heri ya siku kuu kwa wote. Na kwa wana TKY an KYL Apapigwe.
Hivi Wabunge wa Tanzania wana jukumu la kuleta Pork Nyumbani? Je wanaweza kuchunguza matatizo, kubuni njia ya kuyatatua kuandikia proposal kupeleka bungeni na kuishawishi serikali itoe pesa kusaidia? Nani ana jukumu la kugharimia maendeleo ya jimbo?
Je kuna conflict kati ya wizara na matakwa ya mbunge? Kwa mfano kama mbunge anataka barabara katika jimbo lake, Waziri wa mawasiliano ( or is it miundombinu?) ana say hapo?
Ninasema hivyo kwa sababu ingawaje sisi wananchi tuna jukumu la kuendeleza majimbo yetu, wakati mwingine hiyo miradi inahitaji kuwa co-ordinated na kuchangiwa na serikali.
Mfano ni miradi kama usafiri, emergency kama mafuriko na yatokanayo na mafuriko ( njaa na maradhi) Hili ni tatizo sana hasa katika wilaya ya Kyela.

I believe Jamii Forum should be used to share well researched issues and not whimsical personal vendatta. We ought to be serious because the country needs us!!!
Nimeingia kwenye hii website, it looks state sponsored, also it has nothing much, looks as if it is still under construction, the information about the region is also very filmsy,is limited to physical borders. I tried to register and was promissed an e-mail which never arrived.
Thanks for the info though.
Hapo umenena malafyale,,,,tatizo hapa pia lipo kwa wabunge wetu,pamoja na usomi wao sio wabunifu katika suala zima la kuandaa vitu kama proposal na kuziwasilisha serikalini(ama hata kwa wafadhili) badala yake wamekaa kulialia tu 'oooh fulani ananifanyia majungu jimboni kwangu'..Kama mtu ni mbunifu na unaleta maendeleo jimboni kwako sidhani kama una haja ya kuwa na wasiwasi/watakiwa kulalamika maana hata kama kuna watu wanakufanyia zengwe jimboni kwako wananchi wataamua kutokana na maendeleo uliyowaletea..Pia ifikie kipindi vingozi watawala na waendaji mkoani(RC,RAS,DCs,DEDs,Wakuu wa idara mbalimbali za halmashauri nk) wasijiingize katika makundi haya ya siasa badala yake wafanye lile lililowapeleka mkoani,maana wanatumia muda mwingi (na sometimes wanakuwa njia panda) katika kujishughulisha na makundi ya kisiasa badala ya kufanya na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Mbeya....
Hivi inakuwaje mbunge unafanya ziara kwenye jimbo lako? Muda mwingine wote unakuwa wapi? Nilikuwa nategemea wakae kwenye majimbo yao hasa kwa wakati ambao sio wa bunge.
Malafyale Mwanjelwa, mansions za watu wa Kyela unazosema wamejenga huko Mbeya ziko sehemu gani? Watu waliojenga nyumba za maana hapo mjini Mbeya wengi ni wakinga toka Makete!!Malafyale unawafananisha watu kutoka kyela na Wapemba, wapi na wapi?? Wapemba wanamsimamo hawayumbishwi, nyie wa Kyela Mwakipesile mtu mzima anakubali kutumiwa kuwahujumu ndugu zake anasahau kuwa huo uRC unakikomo na atarudi kuishi Kyela.!!Hayo mambo ya kitamaduni unayoyasema yanawafanya watu wa kyela kuwa nyuma kimaendeleo ; ndio hayo niliyowahi kusema hapo awali kuwa hilo ni jukumu la viongozi kuwaelimisha watu wao[ sio kuwagawia fedha!!] ili waepukane na imani potofu. Kuwaelimisha wananchi ni jambo la msingi mahala popote watu wanapotaka maendeleo ama sivyo wataishia kuchunana ngozi as a result watu wataogopa hata kwenda mashambani kulima. Kuhusu maendeleo ya wilaya ya Chunya nadhani tatizo kubwa kule ni committed leadership, viongozi wengi wa wilaya ile ni wasanii; mfano mdogo tu ni wakati Lowassa alipokuwa waziri mkuu na kulitembelea jimbo la Songwe, wananchi walipomzomea Mbunge wao wa wakati ule na kumlalamikia kuwa alikuwa hakuwatembelea toka alipochaguliwa!! Wabunge wa wilaya hii inabidi watumie muda wao mwingi huko majimboni kwao kwa bahati mbaya wabunge wote wa Chunya makazi yao na familia zao yako Dar Es Salaam!!

Ile ya Wapemba sikuwa na maana hiyo. Hivi umewahi enda kule Pemba wewe!? Msimamo ni pamoja na maendeleo ya nchi yako au kwenu. Siyo kelele tu za siasa.
I mean, pamoja na hao wa Makete na Njombe, lakini pia na wa-Kyela.
Mimi sidhani kama mbunge pekee ana jukumu la kubadilisha Kyela. Wewe pia na yule. Wote mnatakiwa mwende kule kuwaelimisha watu. Hii mambo ya mbunge, mbunge,,,,, au viongozi, mimi napingana nayo sana.Wewe Usipooanza ku-act hata mbunge awe anakaa na ninyi huko huwezi badilika.
Bwana Bubesi, anza wewe, pia majaji kibao wenye asili ya kule wamejazana Dar, mkuu wako wa majeshi, watu elite kibao wa huko wako Dar na shemu zingine wametulia tu. then wengine watafuata. Sasa hivi kama unavyosema, conflicts za Mwakyembe na Mwakipesile ndiyo zina-stall maendeleo. Kama wewe na wengine mngekuwa na nyumba za kuwavutia kufanya vocations angalau za mwezi mmoja mmoja kule unadhani mngemkumbuka Mwakyembe?
Lakini nisome kwa makini. Sina maana Mbunge hafai kuwepo. Ndiyo maana yupo