Giovanna Upunda
Senior Member
- Aug 11, 2024
- 105
- 48
- Thread starter
- #21
Matukio hayo mawili yamejitosheleza kabisaFafania hapo kwenye Nyekundu please
Matukio hayo mawili yamejitosheleza kabisaFafania hapo kwenye Nyekundu please
Mkuu,👉💐💐💐💐🌺Hakuna tofauti kati ya CCM na Bokoharam
Wajitahidi sana maana wanaweza kupoteza mvuto kwa wananchi.walitekana na kupotezana sana kipindi cha uchaguzi wao wa ndani, sasa wanapigana na kuletana fujo wao kwa wao,
infact,
wakileta fujo nje ya chadema watadhibitiwa na kusambaratishwa vizuri sana na kwa haraka sana, na hawateendelea kuleta hiyo ujinga kwa wananchi wanaendelea kuchapa kazi kwa bidii maeneo mbalimbali nchini 🐒
Wasipo jirekebisha imani ya chama chao kinaweza kupotea kutoka kwa wananchi.Na bado tutaona mengi sana
Kweli kabisaChama kimejaa wahuni
Nyie Watu ni Wapumbavu mnooooo mnoooo, CCM ni Wapumbavu, hapa ndio mwisho wa kufikiri kwenu na hizo ndio propaganda zenu.Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.
Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.
Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.
Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
Kama ni Rahisi kuiba na wewe nenda kaibe tuonekitatokea nnWenzenu wanaiba pesa huko(ripoti ya cag),chawa mmekomaa na propaganda za kipuuzi.
Wewe ni mpumbavuWasipo jirekebisha imani ya chama chao kinaweza kupotea kutoka kwa wananchi.
Ona ilivyo mjinga sasaKama ni Rahisi kuiba na wewe nenda kaibe tuonekitatokea nn
Leta hoja katika hili sio kutukana wala hakusaidii katika kuleta maendeleo ya Taifa.Nyie Watu ni Wapumbavu mnooooo mnoooo, CCM ni Wapumbavu, hapa ndio mwisho wa kufikiri kwenu na hizo ndio propaganda zenu.
Leta hoja mezaniRubbish!!! Siasa majichoo halafu utakuta mtu mzima kabisa na una watoto yani maajabu ya bongo
Upumbavu si tusi cha msingi leta hoja zenye kuleta matokeo chanya.Wewe ni mpumbavu
Kuna hoja au kuna upumbavu??Upumbavu si tusi cha msingi leta hoja zenye kuleta matokeo chanya.
Uwe na akili next time ukitaka kupost hapaLeta hoja katika hili sio kutukana wala hakusaidii katika kuleta maendeleo ya Taifa.
🚮🚮🚮Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.
Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.
Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.
Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
🚮🚮🚮Je unahalalisha viongozi wa Chadema kupigwa na kutekwa na viongozi wao kwa sababu tu kuna watu walitekwa?
Wameathirika na nini, au umesahau watu waliuliwa na ccm na kupotezwa? Bado unaamini mnaweza kutuchota kirahisi hivyo?Waathirika wa matukio hayo hamuyaoni?
CCM wanateka,wanatesa,wanapoteza na kuua wapinzani. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.Vipi kwa Chadema wanaopiga viongozi wao?
Hiyo sio hoja mzeeUwe na akili next time ukitaka kupost hapa
Video hizo mbili umeziangalia? Je hao wanaolalamika kufanyiwa mambo ya kidhalimu ni CCM?CCM wanateka,wanatesa,wanapoteza na kuua wapinzani. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.