Siasa za Chadema zinazoambatana na vurugu

Wameathirika na nini, au umesahau watu waliuliwa na ccm na kupotezwa? Bado unaamini mnaweza kutuchota kirahisi hivyo?
Unahalalisha kufanyiwa vurugu kwa wanachama na viongozi wa chadema na viongozi wenzake?
 
Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.

Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.

Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.

Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
Ni hatari Kwa wanawake kujiunga.na hicho chama cha wahuni na wavuta Bangi.

Watapata tabu sana
 
Vp CHADEMA wanaleta lini mpox na Ebola?

IMG-20250328-WA0014.jpg
 
Unahalalisha kufanyiwa vurugu kwa wanachama na viongozi wa chadema na viongozi wenzake?
Narudia tena, kama kweli wana huruma hiyo tungeona hatua zikichukuliwa dhidi ya waliouwawa na vyombo vya dola, ama kupotezwa.
 
Hivi ni lini nyie machawa mtaachana na visiasa vya kuokoteza okoteza visivyo na kichwa Wala miguu?

Watu kutekwa na kupotezwa kwako sio uvunjifu wa amani ila mtu kupigwa kikofi ndio uvunjifu wa amani?
Watekaji wanaitwa watu wasiojulikana kumbe hawatakiwi wajulikane
 
Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.

Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.

Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.

Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
So ccm hii ndo agenda kuu kuriko report ya CAG, kama chama dola ilikua kuja na maswali ya kutaka majibu kutoka kwenye Serikali inayounda chama ichi, leo mpo na kuzungumzia vitu vidogo ambavyo kichwa au miguu havina.

Mtu alipigwa anaweza kupiga bia na badae kwenda tibiwa bila pf3??

Acheni utoto , mmeshindwa hoja mnakimbilia vitu hata ambavyo hamvijui ,mwaka huu mtaaibika sana
 
Back
Top Bottom